Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Jun 3, 2008
16,589
2,000
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.

Too early to predict about who is next
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,770

Makonda akiwa Rais wa JMT nitaamini rasmi kuwa Watanzania wamelaaniwa na wameshalaanika ipasavyo.
Kalemani akiwa Rais wa JMT nitaamini kuwa sasa Watanzania si tu ni Matahaira bali ni Wendawazimu kabisa.
Kwa Heshima niliyonayo kwa Dkt. Shein simshauri awe Rais JMT japo najua pia kuwa haitowezekana.

Mwisho nakutuma kwa huyo Chanzo taarifa wako ( Mnyetishaji wako ) mwambie kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Mwana JamiiForums anasema kuwa Yeye ni ' Mpumbavu ' wa Kiwango cha Kimataifa. Na kama kweli CCM nao itawapitisha hao akina Makonda na Kalemani Mmoja wao kuwa ' Flag bearer ' wake nitakidharau Chama cha Mapinduzi hadi naoza zangu Kaburini.
 
F

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433

Tunza haya maneno yako ili usije kuyakana.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,770
2,000
Tunza haya maneno yako ili usije kuyakana.
Siku zingine hata kama ukipewa taarifa na huyo ' Mnyetishaji ' wako na Wewe pia jiongeze kwa kufanya angalau tu ' Analysis ' ndogo ili ukija nayo hapa Jamvini ( JamiiForums ) kulikojaa ' Majiniasi ' wengi basi nawe pia tukuelewe na tukuone ni Mwenzetu na siyo wa ' hovyo hovyo ' kama unavyoanza Kuonekana hapa. Hivi kwa IQ yako kabisa ukipima, ukichambua na ukidadavua umeona kabisa kwamba kuna Siku nchi ya Tanzania hii hii itaongozwa na ama Mkuu wa Mkoa Makonda na Waziri Kalemani? Nimekudharau vibaya mno!
 
Samahani sana comrade, Mimi nimeleta habari hii baada ya kuhakikishiwa na chanzo hicho kuwa Tatu bora ya CCM 2025 ndiyo hao.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,770
2,000
Samahani sana comrade, Mimi nimeleta habari hii baada ya kuhakikishiwa na chanzo hicho kuwa Tatu bora ya CCM 2025 ndiyo hao.
Paul Makonda akiwa Rais wa JMT huo mwaka nakuhakikishia hapa hapa kuwa nitaweka Historia kwa mara ya Kwanza kwa Tanzania kuwa na Rebel Leader na Warlord aitwae GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na najua kwa msaada ambao nitapewa kutoka nchi Rafiki pamoja na mikakati yangu ya Kimafia na Kiushirikina Makonda akidumu Ikulu Siku Saba ( 7 ) Wananchi mtachagua Adhabu ya Kunipa. Na nina uhakika kuwa ' nitakinukisha ' ile mbaya na Tanzania ya Makonda ' itatikisika ' kila pembe na atakimbia nchi mwenyewe. Yaani katika Watu wote nchini Tanzania GENTAMYCINE aongozwe na Paul Makonda. Sasa wamchague hiyo 2025 kisha wataona nitaweka Historia gani / ipi Tanzania hii.
 
Sasa wewe huwa unajinasibu unatoka kwa mwanaume wa shoka Paul kagame inakuwaje uipindue serikali yetu?
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
4,701
2,000
2025 bado tutaendelea na JPM
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,770
2,000
Sasa wewe huwa unajinasibu unatoka kwa mwanaume wa shoka Paul kagame inakuwaje uipindue serikali yetu?
Na ikiwa ni ya Paul Makonda kama unavyosema hapa nakuhakikishia kuwa NITAIPINDUA na Watanzania kwa muda huo MTANISAMEHE kwani ' nitakinukisha ' viivyo na KUHAKIKISHA huyo Rais wenu Makonda hatawali vizuri. Nitamsumbua mno na bahati nzuri wengine michezo hii ya HATARI ya KIMAFIA na MIKAKATI tulianza Kufunzwa tokea tukiwa bado wadogo. Nina nchi kama Tano ( 5 ) za Majirani hapa hapa nina UHAKIKA nitapata MISAADA yote huko ya SILAHA na WAPIGANAJI. Eti Makonda awe Rais wa JMT. Mchagueni niwanyoosheni Watanzania.
 
Kampindue kagame, kwenu si Rwanda?
 
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
26,664
2,000
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.

NI MPAKA WAZEE WA CHAMA WAAMUWE , HIYO NDIYO KANUNI YA MAFIA YA CCM
 
Top Bottom