Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

Uwenda ikawa kweli kwa sababu 2020 rais wetu magufuli halafu akimaliza miaka yake hiyo mitano ndio atashika mwingine ila nazani ni huyu wa zanzibar ndio atashika kwa sababu sio sisi zamu yetu ni wa zanzibar sasa.
So makonda na wengine sijui taratibu ya nchi hii nikupeana zamu bara visiwani hii miaka 10 bara sasa nivisiwani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Kikwete alitokea Zanzibar? Maana Nyerere (Bara) > Mwinyi (Znz) > Mkapa (Bara) > Kikwete (Bara) > Magufuli (Bara), Mi nnavyojua huwa nawapeana zamu ya utawala Raisi akiwa "Mkristo" basi anayefuata baada ya miaka 10 anakua Rais "Muislam", ila kuhusu Bara na visiwani sio kweli maana Raisi alietokea visiwani ni Ali Hassan Mwinyi pekee.
 
Yani MSUKUMA APEWE TENA NCHI, yaliyotukuta hatutaki, washamba sana hawa watu kwenye madaraka, angalia prof mhongo , nanii, na wenzake
Mkuu usituhukumu bure, siyo li Sukuma hilo jamaa, ni li-Rundi! Wasukuma hatujawahi kuwa na roho mbaya hivyo! Yaani siku hizi urais umekuwa rahisi sana hata zero brain a.k.a FaFa naye anawekwa kwenye orodha ya wagombea? Inawezekana mleta mada ni punguani!
 
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Mwisho wa CCM ni 2020,najua huamini ila subiri utaona, hiyo 2025 umeenda mbali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usituhukumu bure, siyo li Sukuma hilo jamaa, ni li-Rundi! Wasukuma hatujawahi kuwa na roho mbaya hivyo! Yaani siku hizi urais umekuwa rahisi sana hata zero brain a.k.a FaFa naye anawekwa kwenye orodha ya wagombea? Inawezekana mleta mada ni punguani!
Eti punguani, subiri Rais hapo.
 
Kuna mmoja hapo hata mtoto tu alishindwa kupata mpaka wachina wakaenda kumtengenezea mtoto wa kichina halafu unawaza aje kuwa raisi, utakua uko ndotoni wewe!
Kuna Rais Marekani hakuwa ameoa na hana familia na aliongoza vizuri sana
 
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Kalemani hapo ni kwa kigezo kipi?
 
Kwani Kikwete alitokea Zanzibar? Maana Nyerere (Bara) > Mwinyi (Znz) > Mkapa (Bara) > Kikwete (Bara) > Magufuli (Bara), Mi nnavyojua huwa nawapeana zamu ya utawala Raisi akiwa "Mkristo" basi anayefuata baada ya miaka 10 anakua Rais "Muislam", ila kuhusu Bara na visiwani sio kweli maana Raisi alietokea visiwani ni Ali Hassan Mwinyi pekee.
Hata hilo la rais mkristo na mwislamu halipo
 
IFIKE MAHALI MUACHE izi tabia. Tuna mambo mengi ya kujadili ila si hili. URAISI ni kuropoka eti? Niwaombe msijaribu kumtabiria mtu hicho cheo we have to wait until the time. Tuwajibike tu kwasasa mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
makonda alishapata vyeti vya kuhitimu shule yake?
kalemani ati mkali ? nyie watu nchi hii haihiji watu wa kali ! inahitaji mifumo imara iliyohuru! unampata raisi mkali halafu hataki checks and balance ili kuleta financiala ACCOUNTABILITY Inasaidia nn?
 
Back
Top Bottom