Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

2025 Huenda akawa Mgogo mmoja ambae Ni Prof wa Sheria
Umelewa gongo iliyopimwa wewe. Haiwezekani MTU ambaye ana kesi ya jinai inayomsubiri ya kufoji vyeti afikiriwe nafasi kama ile. Acheni utani katika mambo serious. Huyo Bashite ajiandae kufikishwa mahakamani 2025. Anayembeba sasa hivi atakuwa ame-exit!
 
Una chuki binafsi naye ila usije kushanhagaa akiwa ikulu ya Chamwino akiamua kwa niaba yetu.
 
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
...watakuwepo !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh ....yaani !
Screenshot_20190401-103751.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania inahitaji watu makini kama Lissu au Assad. Wengine wote ni wale wale. I wish assad astaafu alafu aje upinzani 2020 awe mgombea mwenza na Tundu lisu. Apo hata wakiibiwa kura mimi binafsi nipo tyar kufight kufa na kupona had haki ipatikane.

Hizi tetesi sio za mtu anaye. Jitambuwa pia haujuwi mfumo. Sio makonda Wala kaleman hawajawahi fikia vigezo vya Magufuli hawa ni wakawaida sana na Uwenda watapotea ktk siasa baada ya mkuu. Take from me
 
Tanzania inahitaji watu makini kama Lissu au Assad. Wengine wote ni wale wale. I wish assad astaafu alafu aje upinzani 2020 awe mgombea mwenza na Tundu lisu. Apo hata wakiibiwa kura mimi binafsi nipo tyar kufight kufa na kupona had haki ipatikane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma katiba wewe Acha ukiraza naada ya kusataafu haruhusiw kuingia kwenye siasa.
 
Daah hakika hii nchi ina watu dhaifu katika mtiririko wa kufikiri...
Yaani mtu mzima unakaa chini na kumfikiria DAB aka Paulo Makonda kuwa itatokea siku moja agombee urais..
Ndugu yangu hata kama ni ndoto.. ukianza tu kiota jitahidi ushtuke na uamke haraka haraka..
Na kama ni fikra inakuijia tikisa kichwa..
Make ikikutokea ujue sasa unaanza kuwaza UJINGA na bila shaka utakuwa sehemu ya huo ujinga!
 
Rais ajae atatoka kambi ya upinzani, upepo wa kisiasa utageuka ghafla
Mbowe alishatabiri kuwa "tukiukosa URAIS " 2015 basi upinzani itabidi usubiri miaka zaidi ya 50 kuchukua nchi.
Sijui una Umri gani lakini probability ya wewe na mimi kumuona RAIS kutokea upinzani ni 0.0000000something
 
Kalemani na Makonda hawana vigezo vya maana wanaweza kubebwa na Jpm kama Membe alivyobebwa na Jk,Dr.Shein umri umemtupa.
Orodha yangu ni ya wafuatao,humble and smart people,
Dr.Husein Mwingi
January Makamba
Suleiman Jafo
Samia Suluhu Hassan
Balozi Amina Ally
Kassim Majaliwa
Zito Kabwe
Prof.Assad
Tundu Lisu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom