Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Mtaropoka sana. Ila kwa hili mmeshindwa,jamaa yenu huyoo sasa badala ya kumwambia karibu nyumbani mnaanza na kuuliza nani atachukua nafasi yake. Nilishasema siku za nyuma kuwa Zito anafaida kwa CCM akiwa ndani ya Chadema baada ya hapo kwao ni garasha tuu. Zitto kawaulize wenzio waliotangulia CCM ikoje ikikutumia kusaliti wenzio? Watakuambia, maana hata kwao hutaaminika. Kaa chini omba radhi wewe ni binadamu(tena kijana mdogo) waungwana watakufikiria maana yapo uliyofanya wanayakubali.

Haombwi mtu radhi,yeye ndio wakuombwa,Musitegemee Watu wa kanda yenu pekee 2015.
 
Last edited by a moderator:
1. Mushi,
2. Lema,
3. Lyimo,
4. Makundi,

au wale waliofanikiwa kubadili majina kama yule kamanda (r.i.p) wa kule mwanza.
 
Hapo tumtupie Profesa Abdallah Safari au J.J. Mnyika
 
kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa ndani ya chama cha chadema,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua kati ya hawa ?

1. Godbless lema .
2. John mnyika .
3. Peter msingwa .
4. Tundu lisu .
Hiyo ndo big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?

maandalizi ya kumrithisha mchaga chama baada ya mbowe imeshaanza, katika list yako umemueka lema kama choice ya kwanza, na sijui umetumia veting system gani, kwani huyu mwizi wa magari hawezi kuwa katika ligi moia na hao wasomi watatu wengine. Chadema kinaharibiwa na kimejipiga risasi ya miguuni kwa maamuzi mabaya
 
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.

Acha uzuzu, sio mambo ya CHADEMA sema mambo ya WACHAGA.
"......Pumbaaaaf......."
 
Hongerini chadema kama kweli, mmewatoa hawa joka wa kibisa, SASA TUKO PAMOJA KWA HALI ZOTE HAIJALISHI TUKO WAWILI AU WANNE KAMA TUNANUIA MAMOJA HAKIKA TUTASHINDA DAIMA, CCM KWELI HAMNA BAHATI MAANA YA MITAJI YENU YA USALITI CHADEMA IMEKATWA WOTE,NAJIVUNUA KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA WATU WENYE AKILI NA BUSARA.
 
samahani wakuu, mie mgeni hapa, eti JK anarudi lini kutoka matembezini?
 
Back
Top Bottom