Mchepuko wa Gwajima
St. Joseph Arusha ni hatari, Watu8 amefunga orodha, ila kuna Ulyankulu wengine inaitwa mapigano kama sikosei, waliimba Mwenye Mamlaka. Hawa watu walikua wanaimba neno ndio maana nyimbo zao hazitakaa zichuje wala kuchosha kusikiliza...
Wewe umenena hadi nimefurahi. Na wale Shangilieni wa St. Joseph Arusha alikotokea Beatrice Mhone
Shusho na Upendo Nkone
Nakuunga mkono asilimia zote mkuu ila ndo chimbuko la upendo kilahilo
Angela Chibalonza - May she rest with the Angels. Ninaupenda sana huu wimboKuna mother aliimba Ebenezer alifariki kwa ajali ya gari hata simkumbuki jina.
Ni mwimbaji mzuri sana.
Ameen and Ameen!! Huyu dada ana kipaji. Ule wimbo wake wa "Ushirika na Wewe" umenikaa kichwani toka jana.CHRISTINA SHUSHO is the Best Gospel Singer in the country. Na ukitaka kujua Shusho anakubalika na anapendwa nenda nchi za jirani kama Kenya, Rwanda, Burundi na Congo DRC uone anavyokubalika. Cheki video zake zilivyo tofauti kwani ni za quality ya juu kuliko mwimba mwingine yeyote hapa Tanzania.
Kwa kifupi, she is the best singer at the moment.
Nilinunua CD yake majuzi kati sijui imepotelea wapi, jamaa wale saa hizi ni watu wazima miili hiyo walihojiwa siku moja na yule jamaa wa gospel wa TBC na huwezi amini asilimia kubwa wapo kanisa lilelile maana kwa mazingira ya sasa ya upambanaji unakuta huyu alihamia kule katika kutafuta akaamua kusali maeneo ya kwao nakadhalikaKile kibao kilinigusa sana. Albam ipo mtandaoni unaweza ukaipakua kama umeshaipoteza
AIC Shinyanga pia...
Mkuu ulivyowataja Shangilieni hadi mwili umesisimuka...
"Dunia shangilieni nuru imewaangazia...
Katika mji wa Daudi Kristo Yesu amezaliwa...
Tazama kwa ajili yenu...
Mtoto amezaliwa...
Kauacha utukufu...
Ili atuokoe...
Jamani....
Shangweeee..
Shangilieni..."
Hahah yaani naweza nikauandika wimbo wote...
Nakumbuka tu redio kaseti hapo ni mwendo wa kufoward na kurewind kaseti kwa kutumia biki...[/QUOTE Watu8 kumbe na wewe umo, kiukweli nyimbo zile zilikuwa zinakosha, unajua zilikuwa zinakosha kiasi kwamba kwa wakristo wachanga kama sisi unakuta unapata mafundisho na visa za kwenye biblia.
Ila Shusho na Upendo Nkone ni kiboka maana pamoja na kwamba hawaimbi zile nyimbo za kutumbuiza (entertaining) za kuruka huku na kule lakini bado wakiimba unawasikiliza mpaka mwisho
Tangu utoto nimesikia sifa za jina la yesuu!anatukuka sanaa!
Jina lake ni kubwa sana yeeeye!,tunatangaza kubwa mungu wanguu!bwanaah bwanaah bwanaah bwanaah,bwanaah bwanaah atukuzwe bwanaah iyooo
Namkubali sana huyu MARTHA BARAKA
AIC Shinyanga pia...
Mkuu ulivyowataja Shangilieni hadi mwili umesisimuka...
"Dunia shangilieni nuru imewaangazia...
Katika mji wa Daudi Kristo Yesu amezaliwa...
Tazama kwa ajili yenu...
Mtoto amezaliwa...
Kauacha utukufu...
Ili atuokoe...
Jamani....
Shangweeee..
Shangilieni..."
Hahah yaani naweza nikauandika wimbo wote...
Nakumbuka tu redio kaseti hapo ni mwendo wa kufoward na kurewind kaseti kwa kutumia biki...