Vile vile ile kwaya ya kijitonyama upendo group naipenda mno kuna bwana mmoja nafkri ndo main vocalist ila sikuizi wamepoteana ila albam yao ina dumu sana tatzo njia tu ya kurekod ndo ilikua ya kizamani pengine wangepata vifaa vya kisasa mbona wangewaacha wale joyouz celebration wa SA maana ndo kwaya nayoipenda zaidi
Kiukweli najivunia kuwa mkristo ni raha mno kuwa ndani ya huyu Yesu
Hivi wenzetu Waislam huwa hawana kwaya? Ni swali tu...