Kibirizi JF-Expert Member Feb 19, 2011 604 146 Apr 14, 2014 #1 Hayo maneno yamekuwa maarufu sana na nani mwanzilishi na ni kiswahili au ligha gani?
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,195 Apr 14, 2014 #2 Mimi hapa mwanzlishi. Vipi unataka nikugegede?
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,136 116,037 Apr 14, 2014 #3 Papuchi hapa jf-lara 1. Kugegeda-mzabzab
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,658 Apr 14, 2014 #4 Hayo maneno yana umri mkubwa hapa jf
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 48,969 43,085 Apr 14, 2014 #5 Wewe ndiye Kibirizi wa kwenye eatel mane
strong ruler JF-Expert Member Nov 2, 2013 4,921 3,300 Apr 14, 2014 #7 Husninyo said: Mimi hapa mwanzlishi. Vipi unataka nikugegede? Click to expand...
conc acid JF-Expert Member Mar 7, 2014 728 439 Apr 14, 2014 #8 Nyerere na Karume ndo waanzilishi wa dushelele
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 64,441 115,841 Apr 14, 2014 #9 strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... Maneno ya kusindikiza hiyo picha "chinekeeeeeeeeee"
strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... Maneno ya kusindikiza hiyo picha "chinekeeeeeeeeee"
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,195 Apr 14, 2014 #11 strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... Tyta lete picha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 93,078 109,453 Apr 14, 2014 #12 Papuchi "siijui" maana yake wala sitaki kuijuwa. Lakini lina sound kama lugha ya kitoto. Kugegeda ni neno la Kiswahili la zamani sana, likimaanisha kukata hovyo hovyo bila mpangilio, kwa kisu kidugi au kwa meno. Nakumbuka nikiwa mdogo early 60s, marehem mama yake bibia'ngu, tukifanya utundu anatwambia "ntakugegeda masikio yako". Dushelele, najuwa ni nyimbo ya Ali Kiba kama sikosei. Sasa JF hapa naona haya maneno yana maana nyingine. Ndiyo lugha inakuwa, lazima iwe na "slang".
Papuchi "siijui" maana yake wala sitaki kuijuwa. Lakini lina sound kama lugha ya kitoto. Kugegeda ni neno la Kiswahili la zamani sana, likimaanisha kukata hovyo hovyo bila mpangilio, kwa kisu kidugi au kwa meno. Nakumbuka nikiwa mdogo early 60s, marehem mama yake bibia'ngu, tukifanya utundu anatwambia "ntakugegeda masikio yako". Dushelele, najuwa ni nyimbo ya Ali Kiba kama sikosei. Sasa JF hapa naona haya maneno yana maana nyingine. Ndiyo lugha inakuwa, lazima iwe na "slang".
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,195 Apr 14, 2014 #13 strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... Tyta lete picha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
W Window Vista Member Apr 13, 2014 19 14 Apr 14, 2014 #14 kaangalie kwenye Kamusi ndo utajua maana yake!!
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,494 54,906 Apr 14, 2014 #16 Hayana mwanzilishi, yanakuja automatically
B bilachenga Member Apr 6, 2014 36 7 Apr 14, 2014 #17 Kibirizi said: Hayo maneno yamekuwa maarufu sana na nani mwanzilishi na ni kiswahili au ligha gani? Click to expand... mwanzilishi ni HIMIDINI,ole wenu mumdhulumu haki yake cha moto mtakiona.
Kibirizi said: Hayo maneno yamekuwa maarufu sana na nani mwanzilishi na ni kiswahili au ligha gani? Click to expand... mwanzilishi ni HIMIDINI,ole wenu mumdhulumu haki yake cha moto mtakiona.
nameless girl JF-Expert Member Apr 22, 2012 4,195 2,664 Apr 14, 2014 #18 bilachenga said: mwanzilishi ni HIMIDINI,ole wenu mumdhulumu haki yake cha moto mtakiona. Click to expand... Haaaaaa!!!!!! kweli?
bilachenga said: mwanzilishi ni HIMIDINI,ole wenu mumdhulumu haki yake cha moto mtakiona. Click to expand... Haaaaaa!!!!!! kweli?
Access Denied JF-Expert Member Aug 10, 2012 655 209 Apr 14, 2014 #19 Mimi yote hayo nimeyakuta alieanzisha simjui
Box 2 JF-Expert Member Apr 19, 2013 506 117 Apr 15, 2014 #20 strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... huyu jamaa mbona mnamuonea sana,utafikiri anaiangalia nyumba yake iliyosombwa na mafuriko!
strong ruler said: View attachment 151412 Click to expand... huyu jamaa mbona mnamuonea sana,utafikiri anaiangalia nyumba yake iliyosombwa na mafuriko!