Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 551
Sasa mtani kama umri wako ulipitia hapo kwenye red kuna uhalali kuchangia posti kama hii.Huoni uko mahali pasipo pake naomba niwe nakukumbusha ..this is gross technical mistake!Papuchi "siijui" maana yake wala sitaki kuijuwa. Lakini lina sound kama lugha ya kitoto.
Kugegeda ni neno la Kiswahili la zamani sana, likimaanisha kukata hovyo hovyo bila mpangilio, kwa kisu kidugi au kwa meno.
Nakumbuka nikiwa mdogo early 60s, marehem mama yake bibia'ngu, tukifanya utundu anatwambia "ntakugegeda masikio yako".
Dushelele, najuwa ni nyimbo ya Ali Kiba kama sikosei.
Sasa JF hapa naona haya maneno yana maana nyingine. Ndiyo lugha inakuwa, lazima iwe na "slang".