Nani mtani jembe.....................

Maguguniga

Member
Apr 14, 2012
35
8
TBL kupitia bia yao ya KILIMANJARO imeleta hili shindano, mil 100 zimetengwa kushindaniwa na Simba na Yanga, kushiriki nunua bia hiyo angalia kizibo tuma sms yenye jina la timu na namba zilizopo kwenye kizibo. kwa matokeo ya karibuni Yanga anaongoza, swari langu hapo je Yanga ndo walevi kuliko Simba?
wadau na wanamichezo naombeni jibu.
 
Simba wamekabwa koo na msomali hata bia hazipiti tena. Chezea Alshaabab wewe!!!
 
Mashabiki wa simba wana hasira na m/kiti wao hivyo wananunua bia na kuipigia kura YANGA.
Mpaka jana yanga 76ml simba 24m
 
Mashabiki wa simba wana hasira na m/kiti wao hivyo wananunua bia na kuipigia kura YANGA.
Mpaka jana yanga 76ml simba 24m

Kwahiyo kumbe mawazo yangu ya kuwa Yanga ndio walevi yanaweza sio sahihi, kwani kwa data hizo inaonesha Yanga wapo mbali sana lakini kiasi kwamba inakuwa ngumu kusema mashabiki wa Yanga wanaweza kuwa wengi mara tatu ya simba.

Hasira na mwenyekiti ndo zinasababisha timu isipate mpunga wa ukweli?
 
Ni kweli Maguguniga na isitoshe si mashabiki wote wa yanga wanakunywa bia,nahisi mashabiki wa timu zote wanaisapoti.
 
Last edited by a moderator:
Yanga wasingeweza kufikisha milion zote hizo pombe yao kubwa ni chibuku.Hata mm nawapigia Yanga japo ni Simba sababu cpend migogoro
 
Ujinga mtupu huu ambao walevi wana-twistiwa matokeo na wao kuendelea kutuma msg.

Yani siwezi ibiwa hela kwenye bia, pia niibiwa kwenye sms.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom