Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 724
haaa haaa mkuu uko fasta!!!Obama 1 Clinton 0
Hasaa...!!, huyu mzee utapenda aongee mda woteJakaya was also good
Kwakuwa mmeamua kwenda OP, basi na mimi namwongeza nyerere
Sizonje weeee ni nouma huyu jamaa hata anavyotumia viungo sana sana pale anaporusha rusha mikono na kunyosha nyosha vidole na lile koti linavyompwaya kwenye mikono yake weeee utatamani aendelee kuongea huyu jamaa......
Niliangalia speech ya obama aliposhinda urais mara ya kwanza mwaka 2008 kama sikosei, daaah yan hata kama ni mpinzani lazima utulie tu!!!Hata hizo ni speech pia mkuu [HASHTAG]#upepowapesa[/HASHTAG]
pamoja sanaMkuu hawa wote wawili huchoki kuwasikiliza, utapenda wawe wanaongea mda wote, wanajua kuitendea haki hutuba asee
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Niliangalia speech ya obama aliposhinda urais mara ya kwanza mwaka 2008 kama sikosei, daaah yan hata kama ni mpinzani lazima utulie tu!!!
Magufuli kama rais anakiwa ajifunze kutoa speech kutoka kwa obama!!
NA akiliweka upande bichwa lake ndo magamba yanafurahi zaidiSizonje weeee ni nouma huyu jamaa hata anavyotumia viungo sana sana pale anaporusha rusha mikono na kunyosha nyosha vidole na lile koti linavyompwaya kwenye mikono yake weeee utatamani aendelee kuongea huyu jamaa......