Nani mkali kati ya Wema na Kajala?

Nani mkali kati ya Wema na Kajala?

BOOTY BATTLE E01 | WEMA SEPETU VS. KAJALA

  • Total voters
    23

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305

wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie😕

em nanyie mnisaidie nani ni mkali kwa shepu na msambwanda???

WEKA VOTE YAKO JUU HAPO.
 
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja
 
Ukifika wakati wa kukompea 'utamu' niite. Naamini kontendaz watafanya kampeni ili wapigakura tuamue kitu tunachokijua. Kwa hili la kuamua kwa macho mi kipofu.
 
wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie😕

em nanyie mnisaidie nani ni mkali kwa shepu na msambwanda???

WEKA VOTE YAKO JUU HAPO.

Kuna Mshikaji wangu mmoja hivi wa ' Kishua ' fulani ' ameshawabandua ' wote wawili hao na kwa jinsi alivyonipa ' mrejesho ' wa ' Makokwa ' yao yalivyo huwa nawashangaa mno Watu ambao huwa mnapoteza muda wenu ' Kuwashobokea ' hawa akina Dada wawili.
 
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja
Babu mada mezani ni 'utamu' sio smart pad wala kalikuleta. Kama hao wazungu kweli wanataka mwanamke bright, mbona nisisikie wameitisha intaviyuu wadada wapeleke vyeti?
 
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja

kaka we hujui tu utamu wa hivi vitu, hilo unaloliita takataka ukilipata utajuta kwanini ulipoteza mda kwa hao vimbaumbau
 
wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie😕

em nanyie mnisaidie nani ni mkali kwa shepu na msambwanda???

WEKA VOTE YAKO JUU HAPO.

Yaani hadi mods wanarekebisha uzi na kuupaka tangi kuhusu BATTLE OF ASSES, dah!
Dah, haya mi siwapi wote maana ni mchina wote.
 
Kuna Mshikaji wangu mmoja hivi wa ' Kishua ' fulani ' ameshawabandua ' wote wawili hao na kwa jinsi alivyonipa ' mrejesho ' wa ' Makokwa ' yao yalivyo huwa nawashangaa mno Watu ambao huwa mnapoteza muda wenu ' Kuwashobokea ' hawa akina Dada wawili.
Yaani utoke Butiama hadi mjini na bado unakubali habari za kuambiwa? Mi ntasema nikionja. Raha ya ngoma uingie 'uchizi'
 
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja
heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.png
beauty with no brains @all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom