Nani mkali kati ya Wema na Kajala?

Nani mkali kati ya Wema na Kajala?

BOOTY BATTLE E01 | WEMA SEPETU VS. KAJALA


  • Total voters
    23
Piga ua garagaza; Zigo la Wema Sepetu ndio muziki munene.
 
Kwani Kajala ana uzuri gani, ni heri ungeweka Wema Vs Uwoya au Wema Vs Jokate ndio kunaweza kuwa na competition
 
Kwani Kajala ana uzuri gani, ni heri ungeweka Wema Vs Uwoya au Wema Vs Jokate ndio kunaweza kuwa na competition
Hivi umesoma topic inahusu nini kweli.....sasa jokate ana msambwanda gani wa kumzidi kajala hadi akafananishwebna Wema au Uwoya ana chura huyo?? Hata mimi kura yangu inaenda kwa Kajala msambwanda wake OG sio chinese innovations
 
ndo kusema hakuna hata mmoja mwenye kapicha kweli kweli kweli???sasa sisi wazee wa kol mi jee tunathaminisha vp sasa??maana sisi hadi tufanye ana ana doo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom