Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
- Thread starter
- #41
Yaani Mimi napenda sana misambuanda [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
habaro njema ni kua hauko pekeako mkuu,tuko wengi
Yaani Mimi napenda sana misambuanda [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu.... embu jaribu kumtazama kajala kwa hapo juu utaona alivyo mtamu waweza mkopo wote kwa huyo bi mdada
makokwa ndo nn mkuu hebu nitonye, umeniacha kabisaKuna Mshikaji wangu mmoja hivi wa ' Kishua ' fulani ' ameshawabandua ' wote wawili hao na kwa jinsi alivyonipa ' mrejesho ' wa ' Makokwa ' yao yalivyo huwa nawashangaa mno Watu ambao huwa mnapoteza muda wenu ' Kuwashobokea ' hawa akina Dada wawili.
wema shape imekaaa kama kitwangio......
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja
Mkuu na wewe ni jaza ujazwe?Akikujibu fanya kun tag.
-Ndumilakuwili-
Una Kheri Kwa kulijua hilo! Ni wachache sana wenye kuelewa hilo! Imeandikwa "heri Pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe kuliko Mwanamke mzuri asiye na AKILI" mpaka Mungu amesema Neno Hilo Kwenye Biblia litakuwa ni jambo muhimu sana! Mwanamke anapaswa kuwa Mwenye AKILI ! Anaetaka rejea ya maandiko aseme nimpatie
nna mashaka nao sanaaMbona wote kama wanajaladia?
kwani msambwanda ndo unanyima wanawake akili??? anaweza akawa na msambwanda na akili iko kumkichwa
hahaKajala natural, huyo mwingine ni ufundi wa mashariki ya mbali.
Matakataka hayo. Ya nini kuwa na makalio makubwa akati kwenye akili hamna kitu. Ukiona mwanamume anakufukuzia eti kisa makalio jua huyo hamna kitu kichwa. Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja
tanzania ya viwandaMwanamke bila makalio makubwa, ni sawa na nchi bila jeshi.
Binafsi nayazimikia sana
Wazungu wanapenda mwanamke aliye bright kichwani ndio maana kila siku wanaendelea sasa wee endelea kupenda mavitu yaliyovimba kwa nyuma ukaona ni ujanja