Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Deogratius nalimi kisandu a.k.a mtemi kiongozi kisandu!
 
Naona mshanar jr anaongoza, akifuatiwa na The bold, then Ontario

Kura yangu kwa The bold, huyu jamaa anaandika makala ngumu sana na zinazohitaji utafiti, muda mwingine huwa najiuliza anapataje hizi taarifa??
 
Shukrani sana Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1417] lakini kumbuka Baba wa Taifa aliwahi kutamka hadharani kwamba CCM si mama yake. Kama chama hiki kimekuwa ni kimbilio la wahuni, wezi, wapokea na watoa rushwa na wauaji ni lazima Watanzania tuseme kweli bila kumung’unya maana tukiiharibu Tanzania yetu hatuna Tanzania nyingine ya kukimbilia. Na kuharibu ni rahisi sana kuliko kujenga.

 
Huyu mrembo ni mmoja wa watu wenye hekima na busara sana hapa jamvini. Ni raha sana kumsoma unaweza kurudia hata mara tatu. Wengine kwa wadada ni Sakayo, Mzigua90, Sky Eclat, Pakawa na Heaven Sent.

Aiseee nilikuwa napitia uzi mzima,nikasema kama hujatajwa wallah basi hata mm ntakutaja,...uko vizuri my friend,.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Naona mshanar jr anaongoza, akifuatiwa na The bold, then Ontario

Kura yangu kwa The bold, huyu jamaa anaandika makala ngumu sana na zinazohitaji utafiti, muda mwingine huwa najiuliza anapataje hizi taarifa??
Google.com
 
Hapa unaweza ukajikuta umetoa macho kma Hashim Rungwe kusubiri kura yako. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom