[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]1. The Bold
2. Ontario
3. Mshana JR
4. Emmyta
5. Sky Eclat
6. GUDUME
7. Miss Natafuta
Hahahahaaaaa. Haya bana rafiki ahsante kwa kuliona hilo. Be blessed.Aiseee nilikuwa napitia uzi mzima,nikasema kama hujatajwa wallah basi hata mm ntakutaja,...uko vizuri my friend,.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Eimeeen[emoji120]Hahahahaaaaa. Haya bana rafiki ahsante kwa kuliona hilo. Be blessed.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mi nadhani wewe ndiye hujaelewa swali, ulivyo elewa wewe sivyo. Labda ndio maana majibu ni mengi. Swali linasema, "Nani ni member bora wa jamii forum kwa mwaka 2017?" Wewe unageuza swali eti, " Nani kwako ni member bora?" Huku ni kuhamisha magoli, Ama ujibu swali kama lilivyo au usijibu kama huna jibu, au usijibu kama hukuelewa swali. Lakini umebadili swali ili ujibu unavyotaka au unavyofikiria wewe. Hiyo siyo sawa.Ww umeangalia in general ...swali liko nani kwako ni member bora , mm kuna vitu kanisaidia ndio maana
emmyta, upo my dear!...[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Shukrani sana mkuu
Nipo sana mkuu. Za kupotezana?emmyta, upo my dear!...
Bado upo, naona siku hizi tunapishana...Nipo sana mkuu. Za kupotezana?
Hivi bado ule uzi wetu upo kweli?
Sana aiseee! Mzima lakini?Bado upo, naona siku hizi tunapishana...
Mimi sijambo sana. Kuna wakati nachungulia tu humu na kutoka maana wakati mwingine unakutana na habari zingine zinazoweza kukupa stress...Sana aiseee! Mzima lakini?
Kama upo nitakuwa napita japo niwe nakusalimia mkuu.
Kwa hatua tuliyopo Mkuu hizo habari za kutupa stress kwa sisi wa Tanzania hazikwepeki ujue.Mimi sijambo sana. Kuna wakati nachungulia tu humu na kutoka maana wakati mwingine unakutana na habari zingine zinazoweza kukupa stress...