Asante kwa kuniona mkuu😀Cajojo
Mkuu kama vigezo vitazingatiwa,huwezi kosamo top 10...Asante kwa kuniona mkuu😀
Ngoja ntaanza kutembelea huko niwape madini. Nilikua narefresh kwanzaKuna ma jukwaa mengi hapa jf.
Wengi wenu mnamihemuko na MMU tu, hivyo basi si rahisi kujua vichwa vilivyopo kwenye majukwaa mengine yanayotembelewa na wenye akili. Kwa kuwa MMU imavamiwa na vitoto vya form two hadi kupelekea wenye akili wengi kutoingia huko.
PooohMm ***** ole wenu msinitaje[emoji123][emoji123][emoji88][emoji88]
Hahahah hahahhah hahaha umenichekesha sana watu wanataka watu serious muda wote yani hakuna mda wa kucheka wala kurefresh mind, sasa sie wengine leo matusi kesho vicheko saaa ngapi tutakua top ten?Mkuu kama vigezo vitazingatiwa,huwezi kosamo top 10...
JOSEVEREST ndo alienivutia zaidi. Mustaraabu sana. Ila naona amesafiri tena.Joseverest
Mshkaji msaada anaoutoa hapa hauelezeki sema tu nadhan yeye hazunguki sana kwenye yale majukwaa pendwa wanayopita wengine ila kwangu mimi huyu miaka yote ndiye naona anafaa kutambuliwa kama member bora,kichwa changu kimejaa ujuzi mwingi kuhusu vifaa mbali mbali ila elimu yote hiyo nimeitoa either kwenye mada alizowahi kuzianzisha au majibu anayowajibu watu.
Shukran mkuu
Ni cocochanel huyu mwenye lugha chafu?