Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Karibu sana mrembo Emmy
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji1419][emoji1419][emoji173]️[emoji173]️[emoji257][emoji257]

Shukrani sana BAK. [emoji120] [emoji120] [emoji120]

[emoji8]
 
Hahahahahahaha lol! Eti mtu mgumu kama BAK LoL! Mbona mie nawafagilia wengi humu. Ahsante kuniita.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aisee. Shukrani sana Mkuu.

BAK njoo uone huku.
D
Daah hila Emmy Una Bahati saana kuona mtu mgumu kama bak kukufagilia , mfano kama vile unafagiliwa na watu kama 2pac , dmx, Eminem etc is good
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mwenyewe najaribu kuutafakari huu ugumu wa BAK ni ugumu upi? Ni ugumu huu huu ugumu au ugumu wa ugumu LOL!

Nimeshangaa mie pia eti emmy ana bahati kusifiwa na BAK. lol.

Nikajua utakuja kuelezea ugumu wako ujue. [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mwenyewe najaribu kuutafakari huu ugumu wa BAK ni ugumu upi? Ni ugumu huu huu ugumu au ugumu wa ugumu LOL!
Itakuwa ugumu huu huu ugumu. Hahaaaaa.

[emoji111]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom