BAK Thx
Nape da kusoma articles zako na zaidi msimamo wako salute you bro!
Ndani ya JF wapo walio bora wengi tuuuuu wenye michango mizuri ukiwa unapitia forums zote
Salute
BAK
Mwifwa - Napenda kusoma michango yako@MKWEPA KODI
Mwanahabari Huru - Upo uptodate every minute if not every second
Sky Eclat - Michango yako inafundisha hasa vile vistory vya hapa na pale vinafariji wakati mwingi
Miss Natafuta Matola mcheshi
MBITIYAZA hahahhh huwa nacheka sana nakufurahi nikikusoma
Pascal Mayalla hahahhh Mkuu lakini huwa hueleweki unajua wakati mwingine but I salute mchango wako
tweenty4seven Petro E. Mselewa Mkuu unajua huwa unatuvuruga wakati mwingine lakini challenge ni nzuri inasaidia kupanua mawazo
mshana jr una michango mizuri sanaaa left right n center
Itaendelea.............