Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

Wakuu,

Kwa mwaka 2017 unafikiri nani ni member ambaye amekuwa positive impact kwenye maisha ya Watanzania wenzake kwa namna moja ama nyingine. Nafikiri Jamii Media pia wangetoa tuzo kwa hili.

Mimi wa kwangu ni hawa wawili;
1, Sirjeff Dennis(Ontario)Poultry farming earns prudent varsity student Sh24m monthly

2. Dragoon
Weka wa kwako kama una tofauti na hawa list ifike japo 100
Positive impact unaipima vipi kijamii?! Kwa mtazamo wako au wa jamii forum?! Sijaelewa mkuu naona majibu mengi ila sielewi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom