cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
Cajojo
Cajojo
Mshkaji msaada anaoutoa hapa hauelezeki sema tu nadhan yeye hazunguki sana kwenye yale majukwaa pendwa wanayopita wengine ila kwangu mimi huyu miaka yote ndiye naona anafaa kutambuliwa kama member bora,kichwa changu kimejaa ujuzi mwingi kuhusu vifaa mbali mbali ila elimu yote hiyo nimeitoa either kwenye mada alizowahi kuzianzisha au majibu anayowajibu watu.This year ni CHIEF MKWAWA
Huyu jamaa safi sana naweza sema hvyo ..kwz anajibu smart shida uliyo nayo anaelezea ufanye nn en so on .....kungekuwaga na party ya jf ningempelekea chochote kitu km shukrani .Mshkaji msaada anaoutoa hapa hauelezeki sema tu nadhan yeye hazunguki sana kwenye yale majukwaa pendwa wanayopita wengine ila kwangu mimi huyu miaka yote ndiye naona anafaa kutambuliwa kama member bora,kichwa changu kimejaa ujuzi mwingi kuhusu vifaa mbali mbali ila elimu yote hiyo nimeitoa either kwenye mada alizowahi kuzianzisha au majibu anayowajibu watu.
Mshana jnrWakuu kwa mwaka 2017 unafikiri nani ni member ambaye amekuwa positive impact kwenye maisha ya Watanzania wenzake kwa namna moja ama nyingine . nafikiri Jamii Media pia wangetoa tuzo kwa hili.
Mimi wa kwangu ni hawa Wawili
1, Sirjeff Dennis(Ontario)Poultry farming earns prudent varsity student Sh24m monthly
2. Dragoon
weka wa kwako kama una tofauti na hawa list ifike japo 100
[emoji1] [emoji1] mmh!! Majanga yameisha mkuu?Mimi hapa mwaka huu nimetrend hapa