Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,366
Petro E. MselewaNgoja Wataalamu wa Katiba waje.
Wasubiri kwanza hata tuzike asee.. ndio waanze uroho wao wa vyeo na madarakaNgoja Wataalamu wa Katiba waje.
Anaye tajwa tajwa Babu Juma Duni HajiNi wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar Maalim Seif amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais , je imeeleza chochote jambo kama la kifo linapotokea ? na kama ACT Wazalendo wanaruhusiwa kujaza nafasi ya Maalim Seif unadhani ni yupi awezaye kuvaa viatu hivi ?
Juma Duni Haji anatajwa sana na wanachamamaandalizi ya siasa zijazo baada ya maalim
- mansour yussuf himid
- juma duni haji
maandalizi ya siasa zijazo baada ya maalim
- mansour yussuf himid
- juma duni haji
Hivi ni nani aliekuwa mgombea mwenza wa the late maalim Seif?.Jussa Ismail
Imeeleza nimesahau ibara na kifungu ila inasema "endapo makamu wa kwanza wa Rais akafa Rais alieko madarakani anaruhusiwa "kuteua"mwingine..Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar Maalim Seif amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo linapotokea? Na kama ACT Wazalendo wanaruhusiwa kujaza nafasi ya Maalim Seif unadhani ni yupi awezaye kuvaa viatu hivi?
Juma duni hajj muunguja huyu,wapemba watamkubali kama walivyokua wanamkubali maalim kweli!Maandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
Hata watu hawajazika?Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar Maalim Seif amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo linapotokea? Na kama ACT Wazalendo wanaruhusiwa kujaza nafasi ya Maalim Seif unadhani ni yupi awezaye kuvaa viatu hivi?
Asante , lakini Maalim pamoja na mambo Mengine aliteuliwa baada ya kupendekezwa na chama chake , sasa huyu mwingine atakayekuja naye atapitia njia hii hii ?Twende kikatiba zaidi...
Katiba ya zanzibar ya mwaka 1984 na mabadiliko yake toleo la 2010 .
Ibara ya 40 ,Ibara ndogo ya kwanza(i) inasema,
40.(1) Endapo nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais au Makamo
wa Pili wa Rais itakuwa wazi:
(a) kwa sababu ya kufariki au kujiuzulu; au
(b) ikiwa Rais amefuta uteuzi huo; au
(c) kwa sababu nyengine yoyote itakayomfanya ashindwe
kuwa na sifa za Makamo wa Kwanza wa Rais au
Makamo wa Pili wa Rais;
Rais atamteua Makamo wa Kwanza wa Rais au Makamo wa Pili wa
Rais kutegemeana na nafasi iliyo wazi.
Hivyo utaratibu unarudi kama awali alivyoteuliwa maalim seif.
Kuhusu nani ata fit kuwa makamu wa kwanza hilo tuwe na subira msiba uishe.
Kuna ruhusa na wajibu.Imeeleza nimesahau ibara na kifungu ila inasema "endapo makamu wa kwanza wa Rais akafa Rais alieko madarakani anaruhusiwa "kuteua"mwingine..
Hivyo baada ya msiba kupita Rais anaruhusiwa kikatiba "ya kwao huko"kuteua makamu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar Maalim Seif amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo linapotokea? Na kama ACT Wazalendo wanaruhusiwa kujaza nafasi ya Maalim Seif unadhani ni yupi awezaye kuvaa viatu hivi?