Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,955
- 6,328
Wizara ipi sio ya muungano? Sina utaalamu wa sheria na katiba, kuna sehemu yoyote inayosema Wizara fulani katika serikali ya JMT itahusika na Tanganyika tu? Kuna wizara yoyote ya SMZ inaripoti kwa raisi wa JMT?Wizara ya fedha ni ya muungano, hawawezi kuteua waziri na naibu wote toka upande mmoja.