tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Ukiacha Evelyn Salt, vilaza tupu!
mmmmmh!!!!!! me pia kilaza
Ukiacha Evelyn Salt, vilaza tupu!
na wewe unafaa kuwa first lady wetu humu ndani....makofi tafadhali
Wale wote walioivuruga CC mpaka hakuna ndoa zinazofungwa tena na za zamani nyingi kuvunjika wasipewe nafasi tena
Naomba kwenye kupokea na kuhesabu hela hautakuwepo utakuwa unasign tu nitakachokwambia ufanye sawa
Hahahaaaa server zitajaa ban na mods watakuwa na kazi kweli kweli
Kumekucha huku mzabzab, KakaJambazi, OKW BOBAN SUNZU, Madame B, THE BIG SHOW, kilambalambila, Red Scorpion nyumbakubwa....kujeni huku mchague kilanja,
Nimekugongea like mkuuHili jukwaa linahitaji mnoko, mzandiki, mfitini, mwehumwehu, kichaa, kikongwe etc. Hvyo Nampendekeza FaizaFoxy
Monita wa darasa nani? mwalimu anataka majina ya wasumbufu
Aaa wewe tena?!!!
You are Genious.
Nimekugongea like mkuu