Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Heshima kwenu wakuu
Napenda kutanguliza shukran kwa member wote wa MMU. Hill jumba limepanuka sana kama sio kukua. Na mnapo kua kundi la watu haina budi kua na kiongozi. Mapendekezo yangu tuchague kiranja wa MMU. Kuna member kwa hekima sao zao napenda kuwapendekeza.
The Boss : huyu member anahekima sana kwenye ku-comment na hakosekani takribani kwa kila siku. Ila udhaifu wake hua anatumia maneno magumu lakin ni muwazi. Huyu anafaa kua kiranja.
Evelyn Salt: huyu ijapokua ana majigambo na kujisifia lakini ana hekima anafaa kua msaidizi was kiranja was MMU yaani msaidizi was The Boss
Excel : mkuu heshima kwako napenda sana comment zako, pamoja na hekima ulizo nazo nafasi hii unaimudu. Kua kiranja wa hili jumba
MankaM: huyu napenda awe msaidizi wa Mr Excel kwa hiyo basis kura ni kati ya
The Boss , Evelyn Salt Vs Excel, MankaM
Nadhan wapo Wengi wanaoweza kuliongoza jumba hili, unawza kupendekeza jina la kiranja na msaidizi wake
NB: zingatia usawa wa kijinsia
Nawakilisha