WilliK10
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 601
- 283
Hizi game huzijui! Uwe unaomba ufahamishwe! Ndo maana nikasema cheap thinking! Na umejibu cheap cheap! Unaingalia show ya future kama tukio la siku moja, kimasoko inaangaliwa vingine! Kuna brand building, trial and awareness!Yani akili zako bado, okay ngoja nikujibu .
Kaletwa kuja kutest ladha ya Castle lite.
Inaitwa Castle Lite Unlocks!
Jaribu kufikiria nje ya box. Halafu angalia collabo ya wasanii waliopo...tumia akili papasi wewe! Hizi game sio kama za makinikia