Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.

Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.

Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.

Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.
 
Mkuu muziki wa kisasa au wa vijana umekupita kushoto kama mimi. Tofauti yetu mimi na wewe ni kuwa mimi mara moja moja naangalia muziki wa kisasa. Future ndio anawika sasa hivi.
 
Mimi kwa kweli mshikaji nilikua simjui ila kuna siku mdau mmoja alianzisha mada ya kumjadili humu JF ndio nikataka kujua ni nani na amefanya nini ndio nikashangaa kujua kua alishiriki kuimba wimbo wa hold u down wa DJ Khaled.
 
FUTURE in da house...this guy is really talented
 
Back
Top Bottom