Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,115
Njoo Nikulipie , kumbe povu lako ni kulipiwa tu .. Njoo ulipiwe ....Sasa tunaakaaje Kimya wakati wanatutangazia tena tukalipie kiingilio...au mwenzangu we walipiwa ..
Kama Huna hela ya Kiingilio Kaa kimya na sio kusema humjui future , Na ukitaka show za bure nenda Kahudhurie Mikutano Ya Mwakasege