Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Hii track huwa namuangalia Amber Rose tu....!

Nakumbuka kumwona kwenye WSB-TV siku amekuja ku shoot hiyo video.

ATL baby....huku kuna Future...pale kati kuna Migos...upande mwingine kuna Tip na Jeezy...bila kumsahau Guwop himself...Gucci Mane.

Na hapo wala sijamtaja Usher [well nishamtaja sasa😀] achilia mbali OutKast....

ATL is loaded with talent man!
 
Hizi deal wanaozichonga ni watu wa mtaani kama kutoka mawingu. Castle lite anakuwa anachangia fedha tuu. Wanaangalia na faida yao kuleta mtu kama Rihana si mchezo au Weezy f baby
 
Luda...ATL....Southern hospitality.....
 
Supastaa mkubwa sana.... kwa wanaopenda Hip hop... they do know him well...

his joints are LIT asf
 
Hizi deal wanaozichonga ni watu wa mtaani kama kutoka mawingu. Castle lite anakuwa anachangia fedha tuu. Wanaangalia na faida yao kuleta mtu kama Rihana si mchezo au Weezy f baby
Mkuu hii ni Castle Lite wenyewe. Mawingu na wengine hawashiriki hata kutengeneza jukwaa. Ndio maana kuna siku Mawingu walikuwa wanapiga majungu kuhusu hii concert.
 
Wafanya biashara wanaona mbali sana. Binafsi nahisi wameangalia wapenzi wa castle lite kwanza then wapenzi wa Future. Walevi tunapenda kulewa kwanza muziki baadae. Ndomaana kabla wengi wetu hatujalewa muziki huwa tunauskiliza tuu ila tukilewa magoma yote huwa matamu maskioni.
 
Sawa mlevi Mbobezi.
 
Tanzania unaweza kutengeneza promo ya wiki tatu msanii asiyejulikana wa Marekani akajaza watu, kwa sababu ni msanii wa Marekani tu.

Future ndiye chipukizi wa sasa.

Naona wameangaliahayo.

Kama unataka kuleta wasanii wanaojulikana unaweza kumleta hata MC Hammer au Shabba Ranks.
 
Hahaha! Mtoa mada ungejua kuwa future ni mmoja wa wasanii hot wa USA, ana myimbo zinazotesa soko kwa sasa na pia amepewa kolabo nyingi sana na wasanii unaowaona wewe ni wakubwa, but all in all wanywa castle lite ni tofauti sana na wanywa balimi, japo kuwa zote ni bia [HASHTAG]#MaskOff[/HASHTAG]
 
Anayesema Future hajui kitu anifuate pm nimuimbie 'Turn On the Light' na Low Life.

Awe Ke
 
''Wicked Wicked, Same damn time, Used to This" jamaa ana sound so unique
 
Mask Off - Future & Kendrick Lamar

Tafuta huo wimbo unakimbiza huko kwa Trump, ... Kama hamuwajui wasanii muwe mnakaa kimya ... Ukute wewe ni shabiki wa msondo Ngoma Mambo DAB utayajulia Wapi
 
Mask Off - Future & Kendrick Lamar

Tafuta huo wimbo unakimbiza huko kwa Trump, ... Kama hamuwajui wasanii muwe mnakaa kimya ... Ukute wewe ni shabiki wa msondo Ngoma Mambo DAB utayajulia Wapi
Sasa tunaakaaje Kimya wakati wanatutangazia tena tukalipie kiingilio...au mwenzangu we walipiwa ..
 
Back
Top Bottom