Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Watz wachache sana wanashabikia mzik wa marekani kwasasa yan since 2009 kupanda juu,hii nikutokana na mziki wa africa hasa nigeria kukua kwa kasi...
Amini usiamini Future hawez fikisha hata nusu kama wangemleta Tekno au davido
Asilimia 80 ya nyimbo zilizo kwenye simu yangu ni za kimarekani
 
Huyu jamaa hata akiongea kumuelewa ni shida na akirap ndo shida kabisa.
 
Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.

Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.

Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.

Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.

We wa mbagala endelea kufuatilia Man fongo au msaga sumu ,sisi wa ushuani tupo nae future began kwa bega kama kyupi na ta.ko
 
WEWE UNADHANI HAWATAKI RIHANNA AJE? HAWANA HELA YA KUMLIPA.. RIHANNA AKIJA HATA NITAENDA NA NITAPARAMIA JUKWAA NIMSHIKE KILE KIUNO, MANA BINTI KAJAALIWA KUIMBA HADI UMBO (NATANIA, SIWEZ PARAMIA JUKWAA)
 
pengine hao wasanii wakubwa wanataka pesa mingi labda
 
Nna nyimbo 6 za kibongo tu kwenye simu yangu:
Nin dhambi kwa mwenye dhiki_ xplastaz
Ushanta_xplastaz
Hasi 15_Nash mc
Vvu_Nash mc
Kifo, jela,taasis_ Langa
Gangsta_Langa
Zilizobaki zote ni marekani tupu.
 
Back
Top Bottom