Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

you call it how you like but I call it evolution of music just like evolution of technology... Its a new generation
Kuna dumbing down of things inatokea hata kwenye technology.

This trend is bigger than music.

New generation does not mean better generation.
 
Yeah, what is shit to 70s generation is valuable to 200s generation.. vise versa.

Sasa mimi nimezaliwa 1998, biggie Pac cool nawasikia kwenye vijiwe vyenu tu. Haha. Lazima mkubali new era. Kumleta Nas aje amwimbie kijana wa 98 hiphop is dead wakati Hip hop ya kina Rae sremmud ipo nikuchoshana.

Pitia hapa ufurahi kidogo.

Tatizo umezaliwa 98. Wakati golden age ya hip hop inaisha.

Tatizo sasa mnapangiwa cha kupenda. Hakuna creativity katika muziki wa hip hop sasa.

Kuna marketing tu.

Hata jiwe linaweza kufanywa kuwa hip hopbstar likipata the rightvmarketing mkaambiwa hili jiwe ni star mpya wa hip hop. Njooni mlione. Ni concept mpya ya inanimate stars.

Mkakubali.
 
Mbona hapo hats mzee Wa kriss cross simuoni inamaana naye sio msanii mkubwa? Tuache upuuzi hizi list hazisemi kila kitu unachohitaji kusikia.. Kama chati ingekuwa inahusisha wasanii wakubwa na maarufu basi chris brown asingekosa kwenye top ten ya hii list lakini hayumo kabisa... Tafuta list nyingine utuletee mkuu

Hivi kiingereza unaelewa wewe?
 
Hao wakina Lil Wayne, 50 cents ni the past. Marapa kama Drake, FUTURE ndo the present. Wameliteka soko la muziki marekani + dunia na wanapiga showz hatari!
 
Future analipwa ifwatavyo per concert : $ 150,000 Per 45 Minutes Show.

Booking future requires the following notes apart from the above figure
1) 5 star hotel for him and 10 of his entourage
2)The fiollowing drinks are a MUST Back stage before the show : 4 Bottles of ACE( Hizi za kwake anazipenda kweli kweli),
6 henessy,10 Ciroc bottles,Unlimited Snacks and Energy drinks
3) 1st class tickets for him and the team(for out of US Hii, ila kwa US Its on him)
4)Ground Zero Zone where he sleeps( asije ukamlaza sehem yenye kulimit kelele sijui polisi kusumbua wakiwasha madude yao n.k)


Afu watanzania tujue huyu analetwa south africa, hizi kampuni zetu za beer am sure nyingi za makaburu, ndo mana wanatuletea tubia tuchupa kama maji
so wakienda kule kufidia magarama wanawazungusha kwenye subsidiary companies zao wanazo hold shares kama TZ na kutumia brand yao ya hiyo nchi

alafu Futuree anapendwa..huyu ndo ka replace ao wa hapo juu wakina wayne, 2 chainz nk. ambaye naye sasa anapambana vikali na soko la hawa wajuziii wakina lil yatchy, XXTension,nk
 
Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.

Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.

Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.

Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.
Rihana na lily wayne ndo kina nani?
 
Future huyu mzee

Turn on the light na mzaz mwenza wa CIARA

Hiyo show sio ya kukosa

Ngoja nianze kuzichanga
 
Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.

Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.

Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.

Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.
Afu future sio msanii mdogo

Acha upotoshaji

Future anafanya kazi na wakina dreezy, weezy, T raww, ,french montana, the weeknd, dj khalled , kelly rowland etc
 
Back
Top Bottom