Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

Yaani wewe unataka walete watu wa enzi zako wakati kwemye concert huendi....wacha wamlete Future .com wanamjua.

mimi nataka JaRule.....Eve....Boyz 2 Men....Intro....Jodeci.....Blackstreet (no Digidii)....etc.......
wewe wako ni Future na Hamorapa.....?.......
 
Future siyo msanii chipukizi wala msanii cheap. Wafuatiliaji Wa muziki Wa hip hop wanamjua Mimi nilianza kumkubali way back 2012 kwa ngoma take Turn on the lights

Baadae zikaja ngoma nyingine Kali kama
1. Honest
2. Where ya at ft drake
3. Trapp nigga
4. Same damn time ft diddy
5. **** up some commas
6. Move that dope
7. Wicked
Na nyingine nyingi ambazo sijazikumbuka. Watakaohudhuria show hawatakuwa dissapointed
Msanii chipukizi maana yake si lazima awe msanii cheap.

Na kwa kutegemea uelewa na ufuatiliaji wako wa muziki wa hip hop, msanii aliyeanza kujulikana 2012 kwa tunaofuatilia hip hop tangu enzi za Cool Herc, anaweza kuwa chipukizi.

I honestly tried to listen to Future, he sounds like most of the rubbish coming out nowadays.

One can't even tell the difference who is who.

Nas said hip hop was dead, maybe not.It sounds like it is in I.C.U though.

Where Kiss at? Where Fab at? Where AZ at?

New York need to step the game up.

Even T.I would do at this point.
 
dunia ya sasa wanapenda mziki rahisi rahisi,hata ikiwa na verse moja midundo kibao sawa wao wanaita swaga usiumie kichwa sana na mziki wa sasa sio R&B wala hiphop zote ni rubbish
 
mimi nataka JaRule.....Eve....Boyz 2 Men....Intro....Jodeci.....Blackstreet (no Digidii)....etc.......
wewe wako ni Future na Hamorapa.....?.......
Mimi na wewe tuko sawa......zama zetu zimepita!
 
dunia ya sasa wanapenda mziki rahisi rahisi,hata ikiwa na verse moja midundo kibao sawa wao wanaita swaga usiumie kichwa sana na mziki wa sasa sio R&B wala hiphop zote ni rubbish
Mimi nime evolve, narudi kwenye the classics, hata classical music (hip hop ime sample sana classical music), naingia kwenye golden age of hip hop halafu nasikiliza miziki waliyo sample from 70s na 60s.

Ukisikiliza wimbo kama "Coming Out Strong" wa Future unaona kabisa wimbo kaubeba "The Weeknd". Future kama angetolewa kutoka kwenye wimbo wake mwenyewe kwa jinsi alivyouharibu.

Ma rapper wameacha kurap, wanaongea tu. Hamna rhyme, hamna flow hamna chochote.

Ukisikiliza album kama "Walking With A Panther" ya LL Cool J iliyotoka 1989 ukasikiliza rhymes, storytelling, flow, beats etc utaona hawa ma rappers wa siku hizi wako so lazy kama mateja.

Ndiyo maana LL kawachana

LL Cool J Threatens To “Do It” To “Meatballs” Making Terrible Rap Music

Here's Why LL Cool J Can Judge Today's Artists

DArMjAIW0AAzO5P.jpg
 
Labda niko mbali na dunia hii,sijawahi hta kumsikia aiseeee
 
mimi nataka JaRule.....Eve....Boyz 2 Men....Intro....Jodeci.....Blackstreet (no Digidii)....etc.......
wewe wako ni Future na Hamorapa.....?.......
Mmmh BOyz 2 men! Bila shaka umri umeenda
 
Mmenifanya nimsikilize Future kwa mara nyingine, just to give him time to see maybe he will grow on me.

Nataka kutapika.
 
Msanii chipukizi maana yake si lazima awe msanii cheap.

Na kwa kutegemea uelewa na ufuatiliaji wako wa muziki wa hip hop, msanii aliyeanza kujulikana 2012 kwa tunaofuatilia hip hop tangu enzi za Cool Herc, anaweza kuwa chipukizi.

I honestly tried to listen to Future, he sounds like most of the rubbish coming out nowadays.

One can't even tell the difference who is who.

Nas said hip hop was dead, maybe not.It sounds like it is in I.C.U though.

Where Kiss at? Where Fab at? Where AZ at?

New York need to step the game up.

Even T.I would do at this point.
It seems like you have been asleep for years
Things have changed now muziki nao umebadilika hata wasanii Wa zamani nao wakitoa nyimbo mpya wanatoa kwa staili ya sasa hv siyo ya zamani tena... Rejea kauli yako pia future siyo msanii chipukizi he's been in the game for more than 8 years now you call that an upcoming artist?
 
Mmenifanya nimsikilize Future kwa mara nyingine, just to give him time to see maybe he will grow on me.

Nataka kutapika.
Baba Zuhura sisi vijana wa sasa kina future ndiyo trends zetu.

Nyie sikilizeni kina Nas na bambataa. Wakati umewatupa hata mkiletewa Krs-one kwenye concert hamuendi. Mkienda basi watatu. Si bora watuletee sisi vijana wa kwa aziz tumbo tukishaskia trap beat tunawehuka.
 
It seems like you have been asleep for years
Things have changed now muziki nao umebadilika hata wasanii Wa zamani nao wakitoa nyimbo mpya wanatoa kwa staili ya sasa hv siyo ya zamani tena... Rejea kauli yako pia future siyo msanii chipukizi he's been in the game for more than 8 years now you call that an upcoming artist?

Siyo kwamba niko asleep for years.

Nafuatilia habari siku kwa siku.

The fact that there us a dumbification of popular culture, and it is widely accepted does not nean that that dumbification is good.

Msanii aliye katika sanaa miaka 8 ni chipukizi kwa hall of famers.

Bottom line muziki wa Future hata ukinipa bure naufuta kwa sababu ni rubbish.
 
Wengi uliowataja kashafanya nao

Ndicho kilichonishangaza mtu anasema ni shabiki wa Rihanna na Wayne halafu hamjui future [emoji23][emoji23].

Ni sawa na kusema unamsikiliza prof J halafu haumjui feruz.
 
Baba Zuhura sisi vijana wa sasa kina future ndiyo trends zetu.

Nyie sikilizeni kina Nas na bambataa. Wakati umewatupa hata mkiletewa Krs-one kwenye concert hamuendi. Mkienda basi watatu. Si bora watuletee sisi vijana wa kwa aziz tumbo tukishaskia trap beat tunawehuka.
Hilo halina tatizo.

Lakini mkileta thread ya Future hapa lazima tuseme that shit is rubbish.

Because it is.

But of course what is shit to one person is valuable manure to another.

So do you. Trap. I am into some classic soul beats as sampled by AZ.

Some Premier cuts.

Muziki siku hizi ni promotion. Watu watajaa kumuona Future kwa sababu ni msanii wa Marekani. Sio kwa sababu wanapenda muziki wake.
 
Siyo kwamba niko asleep for years.

Nafuatilia habari siku kwa siku.

The fact that there us a dumbification of popular culture, and it is widely accepted does not nean that that dumbification is good.

Msanii aliye katika sanaa miaka 8 ni chipukizi kwa hall of famers.

Bottom line muziki wa Future hata ukinipa bure naufuta kwa sababu ni rubbish.
you call it how you like but I call it evolution of music just like evolution of technology... Its a new generation
 
Hilo halina tatizo.

Lakini mkiketa thread ya Future hapa lazima tuseme that shit us rubbish.

Because it is.

But if course what is shit to one person is valuable manure to another.

So do you. Trap. I am into some classic soul beats as sampled by AZ.

Some Premier cuts.

Yeah, what is shit to 70s generation is valuable to 200s generation.. vise versa.

Sasa mimi nimezaliwa 1998, biggie Pac cool nawasikia kwenye vijiwe vyenu tu. Haha. Lazima mkubali new era. Kumleta Nas aje amwimbie kijana wa 98 hiphop is dead wakati Hip hop ya kina Rae sremmud ipo nikuchoshana.

Pitia hapa ufurahi kidogo.
 
Back
Top Bottom