BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Hivi nani wanahusika kwenye kuua TTCL mpaka sasa shirika hali perform kabisa. Kama TTCL wangekuwa na watendaji waadilifu na innovative leo hii TTCL ingekuwa the leading comm PLC kwani wana infrastructure zote. where is TTCL mobile.
Nawakilisha
Nawakilisha