Nani kaua TTCL?

Nani kaua TTCL?

wananchi tuna mchango 80% ya vifo vya mashirika yetu tukufu....!
wewe na mimi mbona hatutumii bidhaa za TTCL? itajiendeshaje pasipokuwa na wateja? mimi na wewe si tumeamua kutumia simu nyingine na kuacha za MEZANI na hata kama za mkononi si za TTCL? HALAFU HUYO MCHAWI TWAMTAFUTIA WAPI TENA?
Hakuna uzalendo kwenye biashara, Huduma zikiwa nzuri tutakuja hata wasipotuita
 
wananchi tuna mchango 80% ya vifo vya mashirika yetu tukufu....!
wewe na mimi mbona hatutumii bidhaa za TTCL? itajiendeshaje pasipokuwa na wateja? mimi na wewe si tumeamua kutumia simu nyingine na kuacha za MEZANI na hata kama za mkononi si za TTCL? HALAFU HUYO MCHAWI TWAMTAFUTIA WAPI TENA?


Niliandika hii mwaka 2011 wakati wengine bado .......
Narudia kusema TUTUMIE BIDHAA ZA TTCL
 
Niliandika hii mwaka 2011 wakati wengine bado .......
Narudia kusema TUTUMIE BIDHAA ZA TTCL

Hata bure sitaki. Data speed sio uniform, unanunua data za kutosha lakini wanaku-limit size ya file ya download na coverage yao ni insufficient. Kisa cha kujikarahisha? Nitafute pesa kwa shida na kuitumia nako kuwe ni kwa shida?
Wakijirekebisha nitawajaribu tena but never today.
 
Pale pana kabila gani linatawala naona wengi ni mizee na vijana ni watoto wa field tu.
 
Mimi nilishawahi kusema, matatizo ya nchi hii yatapungua na maendeleo kuja kama serikali itaacha mchezo wa kufanya biashara. Serikali haiwezi na hazijawahi kufaulu katika kufanya biashara. Tuwaachie sekta binafsi ndio zifanye kazi hii. Hapo ndio tutaona umaskini ukipungua kutokana na sekta binafsi kumilikiwa na watu na sio serikali.
 
Back
Top Bottom