Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Usiku mwema, mwenyekiti JK kaahirisha mpaka kesho saa nne asubuhi ndipo watakapo tangaza matokeo.
 
Nimeona Migiro amekuwa juu sana ukilinganisha na wote. magufuli hajazoea kutoa speech na ameanza kweli vizuri akakosa flow. mwisho akaanza kurudia rudia. Amina hajajiamini kabisa hasa Uzanzibar ndo umemwadhiri sana. Anakuwa mpole kwa rafudhi yake.
  1. Dr. Asha Rose Migiro...55% - Hakuwa Na Papara Na Kama Kawaida Yake Confidence Yake Ilikuwa Juu Ukichanganya Na Uzoefu Wake Kama Mhadhiri Mwandamizi Wa Zamani Wa UDSM Kumembeba Mno Katika Utoaji Hotuba Nzuri.
  2. Dr. John Pombe Magufuli...44.5% - Alianza Vizuri Sana Kutoa Hotuba ILA Katikati Alijichanganya Kidogo Na Hii Itakuwa Imechangiwa Na Yeye Kuwa Overwhelmed Na Furaha Huku Akiwa Pia Very Optimistic Na Kisaikolijia Hali Hii Humtokea Mtu Aliyejawa Na Shauku Na Matamanio Makubwa Ya Kitu au Jambo Fulani.
  3. Amina S. Ally...0.5% - Kaanza Vibaya Tena Huku Akiwa Anatetemeka Hata Kuzungumza Na Akionyesha Uwezo Mdogo Sana Wa Kujiamini Na Kujieleza Na Hotuba Yake Nzima Ilikuwa Ni Out Of Context Na Ni Kama Hakujipanga Na Hajui Anachokifanya.
 
Asha Rose kamfunika Pombe
Asha hakuweza kukonga nyoyo za watu, ameongea kisomi mno na kujisifia shule. Mtu aliyeongea Kwa ujasiri ni Magufuli. Amina ni mtu wa kujikomba komba, kajiharibia sana, kwani kundi la Membe, January ni wengi sana hivyo wote hao watampiga chini.
 
Migiro amenikumbusha hotuba ya kuombea uongozi wa HP na urais udsm!
Magufuli amejiamini sana!
 
Amina amekuwa kama anatoa speech ya kuwa….!
 
Asha alichokosea ni kutumia muda mwingi kuongelea cv yake na kujisifia usomi. Wapigakura lale hawakutaka hayo kwani cv zipo mitandaoni. Mama wa Zanzbar bado sana.Magufuri hakutaka kuelezea usomi wake kwani pale hatuajiri lecturer. Alienda direct kwamba amefanya kazi gani na atafanya nini akiingia.
Ndiyo shida inawapata watu wengi kwenye interview za kazi. Wakiukizwa tell me about yourself wanarudia cv nzima. Kifupi magufuri kaongea vizuri kuliko wote ukiacha tu alikua na bashasha kuliko wote.
 
Mwisho wa siku tuangalie kama wana uwezo wa kutuvusha kuelekea nchi ya matumaini maana tumaini moja la wananchi halikuingia tano bora, maana nchi imefika hapa kwa kuangalia nani ni nani katika kucheza na mic jukwaani na kuamini kwamba wanaweza kutuongoza lakini hatimae wameishia kumbwera mbwera. Usiku mwema tusubiri matokeo hiyo kesho saa nne asubuhi na kuhitimisha safari ndefu ambayo ilikuwa inasubiriwa sana na wanaccm walio wengi maana pilika zilikuwa nyingi
 
Kwa mtazamo wangu aliyetowa speech ya maana ni Asha.
 
Ka Nyerere hakajaonekana nasikia kalikuwa bar kanalewa tu.

Ka Lowasa kalikaa jukwaani kama robot hakatingishiki hakapepesi halafu tulitaka ndiyo awe Rais wetu? hakika hii nchi majuha bado wengi.

Choice tatu zilizobaki ni swafi kabisa, zote nnazikubali lakini ningependelea zaidi Asha achaguliwe, ikishindikana basi Magufuli. Huyu Amina mimi binafsi simjuwi utendaji wake, kwa hiyo I reserve my comment on her.
 
Ka Nyerere hakajaonekana nasikia kalikuwa bar kanalewa tu.

Makongora hakuwa serious hata kidogo.

Yeye ni kama alipandikizwa tu kumchafua Lowassa.

Huwezi ukawa presidential material halafu ukawa unaongea kama alivyokuwa anaongea yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom