Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Magufuli alipotea boya dk chache tu baada ya kuanza speech. Amina ameshindwa kuji-control hasa kuanza kutaja watu na makundi yake. Alikuwa anakumbusha maumivu sana kwa makundi hayo.
Ingawa nampenda Magufuli kiutendaji,lakini speech ya Asha ilikuwa more organized.Speech za Magufuli na Amina zilikuwa kanyaga twende.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom