Naomba ndugu zangu tujadiri kinachotokea Dodoma. Yupi ni yupi?? Tumeona wanavyojinadi.
Jamani sisi Watanzania angalau tujitahidi basi katika Kiswahili ili hata majirani waamini kuwa Tanzania kwa lugha hii sio mchezo; dah! "tujadiri" kweli?
Naomba ndugu zangu tujadiri kinachotokea Dodoma. Yupi ni yupi?? Tumeona wanavyojinadi.
Hakuna hata mmoja aliyeongea mambo ya maana zaidi ya Kuisifia CCM, kumsifia Kikwete na kumsifia Lowassa.
Wote hawajui ni kwanini na kwa vipi wamefikia hatua hiyo ya Fainali, ni kama bahati nasibu fulani hivi.
Ka Nyerere hakajaonekana nasikia kalikuwa bar kanalewa tu.
Ka Lowasa kalikaa jukwaani kama robot hakatingishiki hakapepesi halafu tulitaka ndiyo awe Rais wetu? hakika hii nchi majuha bado wengi.
Choice tatu zilizobaki ni swafi kabisa, zote nnazikubali lakini ningependelea zaidi Asha achaguliwe, ikishindikana basi Magufuli. Huyu Amina mimi binafsi simjuwi utendaji wake, kwa hiyo I reserve my comment on her.
Cv wanaijua, walikuwa hawafahamu idadi ya madaraja na km za barabara zilizojengwa na awamu ya nne; kazitajaHakutaja elimu Asha kataja cv.walau kidogo
Magufuli .
Magufuli linaimba imba kama toto eti ebiselema..nyambafuuu
Magufuli anafaa hatuwezi kuongozwa na mwanamke.
Magufuli linaimba imba kama toto eti ebiselema..nyambafuuu
Cv wanaijua, walikuwa hawafahamu idadi ya madaraja na km za barabara zilizojengwa na awamu ya nne; kazitaja
Naomba ndugu zangu tujadiri kinachotokea Dodoma. Yupi ni yupi?? Tumeona wanavyojinadi.