Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

Magufuli, hao wengine walikuwa wanasherehesha ukumbi tu! Kwa mfano huyo mmoja alikuwa anamtaja taja lowasa tu!
 
Asha pamoja nakuwa hafai amejieleza vizuri, wa kwanza alikuwa amechanganyikiwa. magufuli as usual
 
Hakuna hata mmoja aliyeongea mambo ya maana zaidi ya Kuisifia CCM, kumsifia Kikwete na kumsifia Lowassa.
Wote hawajui ni kwanini na kwa vipi wamefikia hatua hiyo ya Fainali, ni kama bahati nasibu fulani hivi.
 
Sifa mojawapo ya mtoa speech mzuri ni kujua anaongea na hadhira yya namna gani na SWAPO kwenye halo gani...
1. Migiro kaongea kama anaongea nq Maprofesa
2. Amina as if alikuwa anawaomba kura kundi la EL
3. Magufuli amejuwa aina ya watu aliokuwa anaongea nao
 
Naomba ndugu zangu tujadiri kinachotokea Dodoma. Yupi ni yupi?? Tumeona wanavyojinadi.


  1. Dr. Asha Rose Migiro...55% - Hakuwa Na Papara Na Kama Kawaida Yake Confidence Yake Ilikuwa Juu Ukichanganya Na Uzoefu Wake Kama Mhadhiri Mwandamizi Wa Zamani Wa UDSM Kumembeba Mno Katika Utoaji Hotuba Nzuri.
  2. Dr. John Pombe Magufuli...44.5% - Alianza Vizuri Sana Kutoa Hotuba ILA Katikati Alijichanganya Kidogo Na Hii Itakuwa Imechangiwa Na Yeye Kuwa Overwhelmed Na Furaha Huku Akiwa Pia Very Optimistic Na Kisaikolijia Hali Hii Humtokea Mtu Aliyejawa Na Shauku Na Matamanio Makubwa Ya Kitu au Jambo Fulani.
  3. Amina S. Ally...0.5% - Kaanza Vibaya Tena Huku Akiwa Anatetemeka Hata Kuzungumza Na Akionyesha Uwezo Mdogo Sana Wa Kujiamini Na Kujieleza Na Hotuba Yake Nzima Ilikuwa Ni Out Of Context Na Ni Kama Hakujipanga Na Hajui Anachokifanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom