Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,594
- Thread starter
- #41
Mimi nadhani labda wewe binafsi ungependa tu kusikia rais akiyatumia maneno hayo.
Lakini mwisho wa siku ukiangalia, matokeo yatakuwa yale yale tu.
There is always more than one way to skin a cat, my friend!
thats true; labda sisi wengine tumeharibiwa na huku kwetu. HIvi kweli huku maofisini bosi anataka kukufire anakuomba uondoke umpishe mwingine. Si wanasema tu "you are fired"? ... there is only one way to skin a cat... to skin it! LOL