Siyo lazima. Haya siyo kama yale masuala ya kwenye boardroom na Apprentice bana, ambapo mtu mzima ananyooshewa kidole na kuambiwa "You'are fired!
"Kwa hiyo, tumelitafakari sana. Katika kupokea fedha hizo na kuziweka kwenye akaunti yake, kuna msingi mkubwa wa kimaadili una upungufu. Tumezungumza naye waziri huyu, tumemuomba atupe nafasi tumteue mwingine."
Ingekuwa ni maajabu kwa Rais kumwomba waziri huyu ajiuzulu wakati anajua kuwa waziri alishazema wazi kuwa
kujiuzulu ni 'fashion' na yeye hayuko katika 'fashion' hiyo.
Tena akaongeza kuwa akijiuzulu hata Rais atamshangaa sana. Naamini Rais atakuwa amemfukuza kazi kiana.
Pia itakuwa aibu ya mwaka kwa Prof kutangaza kujiuzulu wakati yeye hayuko katika 'fashion' hiyo.
Atakuwa amemfukuza kazi kiana. Najaribu kutafuta neno zuri na relevant hapa ila sipati.
Sidhani kama "constructive dismissal" linaweza kuwa relevant kwenye hili suala.
On one one hand, huwa inasemwa ombi la mkubwa siyo ombi per se bali ni amri.
On the other hand, inasemwa huwezi kumwambia "you're fired!" mtu ambaye hamjakutana barabarani.
Mtu umelala mpaka nyumbani kwake utamwajibishaje kwa kumwambia You're fired?
Halafu kesho kutwa akienda Muleba atalala kwa nani? Lazima amfukuze kiutu uzima bana maana binadamu hukutana tena siyo barabarani.
Hata huko ulipo inadaiwa kuwa the
Defense Secretary Chuck Hagel has stepped down at President Obama's request.