Nani kamuelewa Spika Tulia?

Nani kamuelewa Spika Tulia?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
20221223_130832.jpg

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
 
View attachment 2455688

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakala cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.

Moderator tafadhali rekebisha hapo kwenye heading isomeke MaNgala na siyo Magala
Chakala ndio nini?
 
Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.
kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!
 
Wametuona watanzania tu mazuzu ndiyo maana wanaimba kimalaika lkn wanacheza kishetwani.
 
Kwa comment ya aina hii kutoka kwa PhD holder kutafanya wasomi wa bongolala waonekane wababaishaji tu.....
 
Ngoja tupumzike kidogo kabla ya kuanza safari ya mbinguni, maana hii ni hatari. Yale ni maji ya kumwagilia mashamba au ni ya nini? Mwenye jibu anyooshe kidole!!! 😭
 
kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!
Hatuna bahati mbaya wala hawakosei wananchokisema. Wanajua Watanzania ni WAPUMBAFU.
 
Haahahaa...mkuu jibu hoja mezani..
 
Satire...
A humorous...funny or a clever insult.

Huyu Tulia ni mwanasheria...sijui kama ni msomi.
 
Viongozi wa nchi hizi hawana aibu, hawana staha mbele za wananchi, kisa kiongozi hawajibishwi na mwananchi. Penye mfumo wa uchaguzi halali viongozi wangekuwa wana pima wayasemayo kwenye hadhara. Huyo anamungunya maneno juu ya mito, atakuwa ni mmiliki wa mashamba yaliyo kwisha mto Ruaha.
 
View attachment 2455688

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.

Nimekuelewa Kuwa Kikulacho Ni "CcM"

Ndiyo Imetufikisha Hapa Ikatubwaga Tu

View attachment 2455688

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Bwawa litatumika kwa kilimo Cha umwagiliaji wa Mashamba makubwa hasa ya mpunga kwenye Bonde la Rufiji.
 
Back
Top Bottom