Nani kamuelewa Spika Tulia?

Nani kamuelewa Spika Tulia?

Bwawa litatumika kwa kilimo Cha umwagiliaji wa Mashamba makubwa hasa ya mpunga kwenye Bonde la Rufiji.
..hili ni wazo zuri lakini nchi hii haina uhaba wa mawazo mazuri ambayo hayatekelezwi.

..tuna maji mengi ktk maziwa, kwa mfano, Victoria, lakini wakati mwingine tunakabiliwa na uhaba wa chakula.

..mabwawa ya Mtera, Kidatu, na Kihansi, tumeyatumia kwa kiwango gani ktk kuzalisha chakula?

..serikali ilitakiwa iwe imeshaandaa mradi mkubwa wa kilimo ktk eneo hilo.

..Mradi huo ungeweza kuanza sasa hivi na hakuna haja ya kusubiri uzalishaji umeme uanze.

..Nakumbuka wakati viongozi wakuu wastaafu walipotembelea mradi, Mzee Cleopa Msuya alihoji kuhusu mradi wa KILIMO utakaokwenda sambamba na mradi ya umeme.
 
View attachment 2455688

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Kwa kutafakari hili unaweza kuona akilinza Hawa Jamaa zilivyo haziko kabisa Kwa ajili ya ukweli na Kwa jinsi gani watawasaidia wananchi walio wengi tegemezi! Kwa kuwa wao wamekitosheleza basi lazima mbele ya mteuaji waseme lolote litokalo kwenye ZERO !
 
View attachment 2455688

Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?

Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi?

Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama Dubai. Lkn mpk leo Mtwara inazidi kufa kiuchumi.

Analeta ngonjera zile zile za Kilimo Kwanza....mpk leo hatuna kilimo chochote.

Analeta ngonjera zile zile za Matokeo Makubwa Sasa (MMS) au kwa kinyamwezi Big Results Now ((BRN)....lkn mpk leo hatuna matokeo yoyote.

Hata bwawa la Nyerere nawahakikishia hakuna kitu hapo!

Mdudu mbaya nchi hii ni CCM.
Huwa najiuliza, hivi hili jina "Ackson" asili yake ni wapi? Sijaona Mzungu anaitwa "Ackson" kama jina la pili. Huyu mama hana jina la ukoo la kibantu?
 
Waelewa tumemwelewa, yale maji baada ya kuzungusha turbines na kuzalisha umeme, yanakuwa re utilized kwenye irrigation scheme, hivyo kuzalisha chakula cha kutosha na ziada kuuza nje.
P.
Hapo ndipo naona tunapigwa changa la macho tu. Kwani maji ya mito na maziwa hatuna nchi hii? Kama tunayo kwann hatukuyatumia kwa kilimo miaka yote hii? Haya ya Nyerere yana umaalum gani?

Kuna mradi wa miaka mingi ktk bonde hilo ujulikanao kama RUBADA mbona hauna tija yoyote miaka dahali??

CCM huwa mna maneno matamu Sana lkn vitendo!! Nduhu gete gete! Why?
 
Waelewa tumemwelewa, yale maji baada ya kuzungusha turbines na kuzalisha umeme, yanakuwa re utilized kwenye irrigation scheme, hivyo kuzalisha chakula cha kutosha na ziada kuuza nje.
P.

..kwanini mpaka sasa hivi hawajatumia maji ya kidatu, mtera, na kihansi, kwa kilimo cha umwagiliaji? Viongozi wa Tz wana maneno matamutamu ya kuwadanganya wananchi.
 
Waelewa tumemwelewa, yale maji baada ya kuzungusha turbines na kuzalisha umeme, yanakuwa re utilized kwenye irrigation scheme, hivyo kuzalisha chakula cha kutosha na ziada kuuza nje.
P.
Theory... sio kwa Tanzania ....
 
kuna wakati unawasikiliza hawa viongozi wa mihimili (tena mhimili mkubwa kama bunge) wakiongea hadi unajiuliza tuna bahati mbaya sana kuwa na viongozi wa aina hii! ndio maana hata bunge limekosa umakini na uthubutu kama Bunge! terrible!
Tatizo kubwa tulishajiaminisha kwamba eti siasa maana yake ni uongo uongo tu ule unaofanana fanana na ukweli !!
 
..kwanini mpaka sasa hivi hawajatumia maji ya kidatu, mtera, na kihansi, kwa kilimo cha umwagiliaji? Viongozi wa Tz wana maneno matamutamu ya kuwadanganya wananchi.
Mito ipo kibao na maziwa ya kutosha lakini kilimo cha umwagiliaji hamuna !! Watu wanakula Bata tu !!
 
Back
Top Bottom