In most cases...mzazi ni mama ...na mlezi ni mama..Period!Kati ya kuzaa na kulea ipi ni kazi kubwa?
Unajua nini kamanda? Hii nyuzi yako imenigusa sana. Kuna baba wengi sana ambao hawatendewi haki yao. Wababa tunajipinda na wakati mwingine kujinyima ili tuweze kuwapa wanetu misingi bora ya maisha lakini bado tu hatuthaminiwi kama inavyostahili.
Wengine tunafanya mengi kuliko hata hao mama zao waliowazaa lakini wapi. Hatupewi haki yetu. Inasikitisha sana mkuu. Laiti watu wangejua jinsi wengine tunavyowahangaikia wanetu labda wangeweza kututhamini.
Kuzaa sio kazi kazi ni kulea. Na ujue kulea sio kulipa school fees.
Umeona eeh! Yan nisipoingia Jf naugua.Hahahaha....JF adikshen!
Nakutaka radhi............Nani kama baba?
In most cases...mzazi ni mama ...na mlezi ni mama..Period!
Hao sio kina mama sababu hawajui wala hawako tayari kuwa mama,hapa anatazamwa mama aliye mama na amabaye amevaa uhusika wa kimama.
TUSICHANGANYE MADESA SASA HATA TUNAPOSEMA HAKUNA KAMA BABA SIO WOTE NI KINA BABA WENGINE NI WAMWAGA MBEGU TU.
nina wasi wasi na wewe !!! nini maana ya kulea? kulea siyo kubeba mtoto mgongoni!!!!
Baba yangu alifanya na anafanya mengi ambayo hayapimiki. Kwangu HAKUNA KAMA BABA! Na kwa mwanangu navyo vivyo hivyo. Kwake hakuna kama mimi. Nimefanya yote na naendelea kufanya mengi na nitaendelea kufanya hadi nitakapovuta pumzi yangu ya mwisho hapa duniani.
Hili ndo hitimisho Babu watake wasitake. Huwezi kutupa mtoto then ukastahili hi heshimaKwahiyo ishu hapa ni kutojenerolaiz siyo?
Kwama si kina mama wote wana sifa ya NANI KAMA MAMA
Na siyo wanaume wote hawana sifa NANI KAMA BABA.
Sawa si sawa?
Kwahiyo ishu hapa ni kutojenerolaiz siyo?
Kwama si kina mama wote wana sifa ya NANI KAMA MAMA
Na siyo wanaume wote hawana sifa NANI KAMA BABA.
Sawa si sawa?
Na huko tumboni ni nani aliyekuweka humo?
Kati ya kuzaa na kulea ipi ni kazi kubwa?
Mkeo hafanyi unayofanya kwa bintiyo?? Usizungumzie majukumu ya baba, majukumu ni lazima, hayakufanyi uwe zaidi ya mama. Hapa tunazungumzia mioyo ya wamama, hawalipi school fees, lakin wana UPENDO wa kipekee kwenye familia zao. Hongera kwa kuwa baba bora, sio wote wako kama wewe.
Sisi hatujatupwa na ndiyo mana tuko hapa kuwasemea mama zetu. Ukitupa mtoto huna maana.Hili ndo hitimisho Babu watake wasitake. Huwezi kutupa mtoto then ukastahili hi heshima
Kulea na kama unafikiri kulea ni kujaza unga na mchele nyumbani unakosea sana
Kwani sisi (mimi) hatuna upendo wa kipekee kwa wanetu? Acha hizo bana. Acha kabisa. Nampenda sana mwanangu. Nikipigiwa tu simu sasa hivi nikaambiwa anaumwa mafua naacha kazi narudi nyumbani kumuuguza. Hakuna mwingine anayeweza kunifanya niache shughuli zangu zaidi yake yeye. Upendo wangu kwake haufananishwi wala kulinganishwa. Ni wa kipekee.
Kwahiyo ishu hapa ni kutojenerolaiz siyo?
Kwama si kina mama wote wana sifa ya NANI KAMA MAMA
Na siyo wanaume wote hawana sifa NANI KAMA BABA.
Sawa si sawa?
Na sie tupo hapa kuwasemea baba zetu!Sisi hatujatupwa na ndiyo mana tuko hapa kuwasemea mama zetu. Ukitupa mtoto huna maana.
Hongera kwa mara nyingine tena! Mkeo je hana hayo mapenzi uliyo nayo wewe kwa huyo mtoto wenu?