Nani kama Magufuli?

Nani kama Magufuli?

Hamna akili nyie wehu, mnatetea msichokijua kwasababu mnalipwa vipesa vichache lkn watumishi wameshajua hakuna serikali kwa sasa, magari ya umma yanapaki tu gesti na hakuna shida yoyote mana hakuna serikali kwa sasa, ila wendaazimu kama nyie mnatetea tu ujinga.View attachment 3522382View attachment 3522383
Aisee
Inaonekana huko kwenu ni maporini hasa
Sasa hujui kama hao wamekuja kuwajengea kisima, ina maana hawaruhusiwi kulala gesti
Hebu rudi mapokezi upokee wageni, acha unoko
 
20251228_141312.jpg
 
Ukweli ni kwamba kamwe huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya au kibaya kionekane kizuri, magu alikuwa Rais bora na ndiyo mana watanzania wengi (more than 80%) walimpenda, na walimpenda wakati akiwa Rais na sio baada ya kufariki au kuondoka madarakani kama viongozi wengi ambao husifiwa baada ya kutoka madarakani.

Huyu mama ilitumika nguvu kubwa mnoo kushawishi watu wampende lkn kiko wapi? Huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya na kibaya kionekane kizuri, NEVER
Tofauti yake na Samia ni 18% au 14%? (84% kwa 98%)!
Au vigezo tofauti?
 
Magufuli anazidi kupendwa angali kaburini, ukiangalia social media nyingi bado video na audio clip za Magu zinatrend ! hata Mange Kimambi aliwahi kukiiri katika moja ya post zake kuwa ilikuwa ngumu kupambana na Magu maana alipendwa na wananchi wengi kuliko huyu wa sasa !
 
Back
Top Bottom