Nani kama Magufuli?

Nani kama Magufuli?

Hana utakatifu huo, huyu ndio chanzo cha bunge la hovyo la kijani tupu..!!

Sheria nyingi mbovu zilipitishwa kwake, uchawa na kuziba wananchi midomo.

Ni vile Samuya karuhusu utekaji uendelee toka kwa mtangulizi wake na mauaji Dec 29 ndio yamefanya chuki izidi kwake.

Nina uhakika naye angekuwepo tungekuwa na M7 wetu sasa hivi..!!

Tatizo watanzania tunajifanya wasahurifu ila hiko chuma kilikuwa ni chanzo cha haya yote.
Huu ni ukweli ambao wafuasi wake hawataki usemwe. Haya aliyofanya Samia sasa ni kwakuwa aliiga tembo kunya, na sasa kapasuka msamba.
 
Mkuu umelewa? Huyu ndo muasisi wa madhila mengi, ikiwemo OCT 29, wanayopitia Watanzania sasahivi.
 
Hana utakatifu huo, huyu ndio chanzo cha bunge la hovyo la kijani tupu..!!

Sheria nyingi mbovu zilipitishwa kwake, uchawa na kuziba wananchi midomo.

Ni vile Samuya karuhusu utekaji uendelee toka kwa mtangulizi wake na mauaji Dec 29 ndio yamefanya chuki izidi kwake.

Nina uhakika naye angekuwepo tungekuwa na M7 wetu sasa hivi..!!

Tatizo watanzania tunajifanya wasahurifu ila hiko chuma kilikuwa ni chanzo cha haya yote.
Ukweli ni kwamba kamwe huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya au kibaya kionekane kizuri, magu alikuwa Rais bora na ndiyo mana watanzania wengi (more than 80%) walimpenda, na walimpenda wakati akiwa Rais na sio baada ya kufariki au kuondoka madarakani kama viongozi wengi ambao husifiwa baada ya kutoka madarakani.

Huyu mama ilitumika nguvu kubwa mnoo kushawishi watu wampende lkn kiko wapi? Huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya na kibaya kionekane kizuri, NEVER
 
Alijaribu jaribu, sio kwamba magufuli ndio boooora, ila anakuwa bora kwa viongozi hawa jamii ya kina SAMUYA, KIWETE na wenzie.. hata yeye alizingua..
Ni kwamba katika 100 ana 19, wakati wenzake wana 3,3, 5 huko.. ila wote ni F.
 
Ukweli ni kwamba kamwe huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya au kibaya kionekane kizuri, magu alikuwa Rais bora na ndiyo mana watanzania wengi (more than 80%) walimpenda, na walimpenda wakati akiwa Rais na sio baada ya kufariki au kuondoka madarakani kama viongozi wengi ambao husifiwa baada ya kutoka madarakani.

Huyu mama ilitumika nguvu kubwa mnoo kushawishi watu wampende lkn kiko wapi? Huwezi kulazimisha kizuri kionekane kibaya na kibaya kionekane kizuri, NEVER
Hakuwa na utakatifu huo wala ubora huo.

Huyo nakwambia angekuwepo sasa hivi tungekuwa na M7 wetu bila kupenda..!!

Kilichombeba Magu ni hiyo kujenga miradi mikubwa lakini hayo matendo ya hovyo yote alikuwa nayo. Hata ufisadi kwake pia ulikuwepo.
 
Huu ni ukweli ambao wafuasi wake hawataki usemwe. Haya aliyofanya Samia sasa ni kwakuwa aliiga tembo kunya, na sasa kapasuka msamba.
Aliigaje tembo wakati kazi yake ya kwanza baada ya kuurithi urais ilikuwa ni kuwatupilia mbali "think tank" wa mtangulizi wake? Akawatapanya akina Polepole, akajiweka karibu na jirani zetu kuonyesha kuwa mtangulizi wake "aliua hata vifarnga kwa kuvichoma moto" baadae huyo jirani ndio akamuonyesha rangi yake halisi. Akasema yeye watumishi wa umma ataenda nao kwa unyenyekevu kwa kutumia kalamu na sio kuwa simba wa Yuda....nenda kwenye ofisi za umma ukaone madudu!
KARMA IS REAL!
 
Kwani kuiga ulitaka aige hadi kuongea na kutembea kama Magufuli? Huu wizi wa kura, utekaji na kubambikia kesi wapinzani na wakoasoaji ni tabia iliyokuwa ya Magufuli. Na huyo Polepole bora ametekwa ili afaidi matunda ya siasa chafu walizozipanda wakati wa Magufuli.
 
View attachment 3522069

Kuna watu kabisa kwenye vichwa vyao wanadhani wanaweza mchafua huyu jemedari.

Mungu akulaze mahala pema peponi.

Hakuna kama wewe

We miss you
Trillion 2 kupotea,ukuaji uchumi kushuka toka 6+ mpaka 4+%, miili kwenye viroba,hakuna mikopo vyuoni, hakuajiri,miaka minne alikopa sawa na jakaya alivyokopa kwa miaka kumi, muongo kwa taifa,pora hela za watu benki baada ya kukwama kiuchumi, ondoa ruzuku pembejeo,vuruga soko la kunde na mbaazi toka kilo TSH 2200 hadi 200, vuruga soko la korosho, achana na mkopo wa sgr na EXIM bank china ingia na uturuki ambapo riba ni 8% zaidi na uturuki walikopa EXIM bank china tulikovunja mkataba(rushwa)
 
Kajua kutuweza huyu mzee
Tulishindwa kujua Kama Mungu katupa baraka kile kipindi, alikuwa na madhaufu Kama binadsmu, lakini He was Best President ever.

Mungu atupe nafasi ya pili kutunyanyulia JPM mwingine Kwa wakati wake.

Mungu turehemu Kama watanzania Sisi.

Mungu atusamehe Kwa kuto simama kumuombea ipasavyo.
 
Hakuwa na utakatifu huo wala ubora huo.

Huyo nakwambia angekuwepo sasa hivi tungekuwa na M7 wetu bila kupenda..!!

Kilichombeba Magu ni hiyo kujenga miradi mikubwa lakini hayo matendo ya hovyo yote alikuwa nayo. Hata ufisadi kwake pia ulikuwepo.
Huwezi kukubalika na wote, hata manabii na mitume wa Mwenyezi Mungu hawakukubalika na wote lkn itoshe tu kwamba magu alipendwa na watanzania wengi, kuhusu suala la ufisadi naomba nikuulize, kipi ni bora? Ufisadi uwepo lkn wananchi wanasikilizwa na kuthaminiwa, kodi yao inatumika katika miradi inayoonekana, watumishi (polisi, manesi, madokta) kuhudumia wananchi ipasavyo au bora ndiyo hiki kinachoendelea kwa sasa kwamba raia kudharaulika na kutosikilizwa, watu kupeana vyeo kiholela, raia kutekwa na kuuawa kikatili?
 
Moja ya kosa kubwa kabisa alilolifanya ni kwenda na Samia awamu yake ya pili.

Leaks zote alizokuwa anapewa Mange, Kigogo, JPM hakushtuka zinatoka wapi nani anamsaliti.
Wabongo mnaishi kwa kutengeneza fitina za mitandaoni, zamani kabla ya uwepo wa mawasiliano ya kiwango cha juu majungu mliyotengeneza yaliishia kwenye masimulizi ya ana kwa ana watu wanapokutana.

Mzungu kuja na whatsapp na instagram kawachafua kabisa watanzania, badala ya kutumia mawasiliano ya kisasa kujenga maisha ya kisasa watanzania tunatumia kwa ajili ya kuumizana sisi kwa sisi, yule dada kule USA alifanikisha ushenzi wa October 29 kwa kutumia wepesi wa mitandao.

Wanasheria walipoingilia kati wakaweza kumpora akaunti zake wakawa wameikata miguu yake, sasa hivi anatumia anwani za watu wengine kutuma ujumbe mbalimbali wa kishenzi.

Mnatengenezea ubaya SSH kwamba eti ndiye aliyemfitini JPM akimtumia Mange. Huyo Mange kasababisha balaa kubwa mwezi October kwa hiyo na yeye alianza kumfitini SSH akimtumia kiongozi gani?.
 
Kwahiyo unataka kusema watanzania wote ni wajinga, kwamba hawaoni kinachoendelea nchini.
 
Moja ya kosa kubwa kabisa alilolifanya ni kwenda na Samia awamu yake ya pili.

Leaks zote alizokuwa anapewa Mange, Kigogo, JPM hakushtuka zinatoka wapi nani anamsaliti.
Poleni sana haters wa Samia, mpo kwenye mateso na makubwa bila shaka ndo maana mmejichagulia njia ya kuwazushia Samia na Kikwete Kila jambo baya Ili kupoza maumivu yenu. Mungu yupo na, InshaAllah, kwa uwezo wake mtateseka mara dufu kufidia dhambi hiyo. Kwamba nyie mlimjua Magu kuliko alivyojijua mwenyewe yaani?!!!!
 
Ukiniuliza mimi kwa muda mchache nilio ishi hapa Duniani, nitakujibu maendeleo au mabadiliko hayaletwi na Chama bali mtu mmoja na utashi wake. Angalia mambo mengi mazuri tuliyo nayo kwa sasa Duniani hayakuletwa na vyama isipokuwa mtu. Hivyo haya mambo ya mavyama vyama ni upuuzi kinaweza kuja chama kingine chochote kile na bado mambo ya hovyo yakawa mara mbili zaidi.

ushauri wangu tuheshimu vichwa vya watu (talented figures) na sio mavyama.
Unaangalia upande mmoja wa shilingi na kuona mazuri yake. Kuna mazuri zaidi upande mwingine.
Tambua vyama ndio vinaweka frame work[miundombinu] ili hao talented people waweze kuzalisha.
Ushauri wangu talented figures ndio wapewe kuongoza vyama na wapite kwenye midahalo ua kitaifa ili tuwachuje uwezo wao. Sio hiki tukionacho ccm kuogopa midahalo ya wagpmnea wao kuficha uboya. Matokeo yake tunapata viongozi pumba wa ccm ma hawa ndio wanatugharimu.
Mfano huyu sa100 alitakiwa apite kwenye midajalo na wagombea wengine huko ccm, avuke kabla ya kuja kuchuana na akina Lisu ili tupime uwezo na tuchague.
Sio hivi viinimacho tunavyoletewa na wahuni waliopo ktk dola.
 
Wabongo mnaishi kwa kutengeneza fitina za mitandaoni, zamani kabla ya uwepo wa mawasiliano ya kiwango cha juu majungu mliyotengeneza yaliishia kwenye masimulizi ya ana kwa ana watu wanapokutana.

Mzungu kuja na whatsapp na instagram kawachafua kabisa watanzania, badala ya kutumia mawasiliano ya kisasa kujenga maisha ya kisasa watanzania tunatumia kwa ajili ya kuumizana sisi kwa sisi, yule dada kule USA alifanikisha ushenzi wa October 29 kwa kutumia wepesi wa mitandao.

Wanasheria walipoingilia kati wakaweza kumpora akaunti zake wakawa wameikata miguu yake, sasa hivi anatumia anwani za watu wengine kutuma ujumbe mbalimbali wa kishenzi.

Mnatengenezea ubaya SSH kwamba eti ndiye aliyemfitini JPM akimtumia Mange. Huyo Mange kasababisha balaa kubwa mwezi October kwa hiyo na yeye alianza kumfitini SSH akimtumia kiongozi gani?.
Kiongozi, hongera kwa kutufahamu fika sisi wabongo.....nafikiri Sasa unaweza kuishi nasi bila shida. Kuna kitu natakani nikiseme kuhusu wafuasi wa magufuli (r.i.p) lakini kwa sababu za kinidhamu acha nikae kimya tu. Ila nashukuru Kuna kitu umekiona na umekieoeza katika namna ambayo ni juha na lipumbavu tu ndilo litakalobisha.
 
Back
Top Bottom