Poleni sana haters wa Samia, mpo kwenye mateso na makubwa bila shaka ndo maana mmejichagulia njia ya kuwazushia Samia na Kikwete Kila jambo baya Ili kupoza maumivu yenu. Mungu yupo na, InshaAllah, kwa uwezo wake mtateseka mara dufu kufidia dhambi hiyo. Kwamba nyie mlimjua Magu kuliko alivyojijua mwenyewe yaani?!!!!
Mkiambiwa ukweli mnatafuta pango la kujificha. Samia anaendelea kuteka hadi leo, kutupa watu magereza, kufungia mitandao, magazeti, vyombo vya habari. Upo hapa bila shaka ukitumia VPN.
Matumizi ya hovyo ya kodi zetu amenunua ndege, jet stream, magari ya kifahari ya msafara wake, akiwanunulia kuwahonga wagombea 17 magari ya milioni 500 kwa kampeni.
Amechagua mtoto wake, mshenga, ex husband, mkwe, kawajaza wahuni ndugu zake wizara na kurugenzi nyeti.
Ameua maelfu ya Watanganyika, rekodi toka tupate uhuru. Anawakejeri na kuwalaumu wahanga, wazazi, ndugu wanaoomboleza.
Kashfa ya Kizigha, Wicknell Chivayo, DP World, Ngorongoro, kuuza misitu, viwanja vya ndege, kujipitisha CCM, kuiba chaguzi.
Amejaribu sana kuwagawanya Wananchi kidini, kikabila, kikanda.
Maji, umeme, mfumuko wa bei, tozo, kodi lukuki, rushwa imetamalaki, nidhamu serikali imetoweka, anawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Tumeona mabilioni aliyowahonga Mombo, Wambura, CDF.
Ameharibu mahusiano mazuri Tanzania karibu na nchi zote rafiki duniani.
Samia uwezo wake ni mdogo sana. Hatoshi analazimisha, kwa kulazimisha kwake analiangamiza taifa. Mshauri for her own sake and sake of the nation. She should do the right thing and resign. Tuwekeeni hata Kassim Majaliwa kwa kipindi cha mpito.