Nani kama Magufuli?

Nani kama Magufuli?

Uko wrong ndugu, mtu binafsi hawezi leta maendeleo ya nchi, labda ya familia.
Nchi kama nchi inahitaji viongozi imara ili kujipatia maendeleo.
Mfano 1994 Rwanda na Burundi zilikua nchi sawa tu kimaendeleo.
Leo hii Rwanda ameizidi Burundi kwa mbali Sanaa. Hii inatokana na usmart wa serikali yao.
 
Moja ya kosa kubwa kabisa alilolifanya ni kwenda na Samia awamu yake ya pili.

Leaks zote alizokuwa anapewa Mange, Kigogo, JPM hakushtuka zinatoka wapi nani anamsaliti.
Mwamba aliwaheshimu wenzake ndani ya chama akakubali kumbeba maza ila kwa dot chache mwamba ilikuwa atembee na jembe Dr. Hussein.
 
Wewe ni mjinga, Rais gn wa taifa hili tangu kuanzishwa aliwahi kupingwa waziwazi kama huyu? Ushawahi kuona watanzania maelfu kwa maelfu wanaandamana Rais aachie ngazi? Maendeleo gn unayosema wewe? Ya kuteka, kuua na kufungia watu ndani kama kuku? Kuweni na akili japo ya chura tu wajinga nyinyi.
Nimegundua wewe ni mtoto sana hivyo ngoja nikuache ukue kwanza. Maelfu ya watanzania hao walioandamana ilikuwa wapi?!!! Wale mliokuwa mnavunja, kuiba, kujeruhi, kupora na kuharibu miundombinu ya kutumia na jamii mzima?!!! Hivi mlikuwa mnafika hata laki moja?!!!!

Mnajua idadi ya tulikuwa tumetulia tu tunawachora?!!!! Nyambafu mkubwa we!
 
Hofu mnayo kubwa sn, kwnn hamtaki uchaguzi wa haki, kwnn mnazuia maoni ya watu, kwnn mnazuia uhuru wa vyombo vya habari, rubbish 🕳️🗑️🚮
Wewe hutoi maoni hapo saa hizi?!! Nenda FB huko, mbona mmejipanga kuanzia alfajiri Hadi usiku wa manane kumtukana Samia kwa Kila aina ya matusi na hamtekwi?!!!
 
Wewe hutoi maoni hapo saa hizi?!! Nenda FB huko, mbona mmejipanga kuanzia alfajiri Hadi usiku wa manane kumtukana Samia kwa Kila aina ya matusi na hamtekwi?!!!
Hamna akili nyie wehu, mnatetea msichokijua kwasababu mnalipwa vipesa vichache lkn watumishi wameshajua hakuna serikali kwa sasa, magari ya umma yanapaki tu gesti na hakuna shida yoyote mana hakuna serikali kwa sasa, ila wendaazimu kama nyie mnatetea tu ujinga.
IMG_20251229_194645.jpg
IMG_20251229_194709.jpg
 
Hamna akili nyie wehu, mnatetea msichokijua kwasababu mnalipwa vipesa vichache lkn watumishi wameshajua hakuna serikali kwa sasa, magari ya umma yanapaki tu gesti na hakuna shida yoyote mana hakuna serikali kwa sasa, ila wendaazimu kama nyie mnatetea tu ujinga.View attachment 3522382View attachment 3522383
Hiyo picha nmepiga mm mwenyewe sasa hivi, na sio hiyo tu gari za serikali ni nyingi sana zinaenda sehemu za anasa bila woga wowote mana wanajua hakuna serikali kwa sasa.
 
Nimegundua wewe ni mtoto sana hivyo ngoja nikuache ukue kwanza. Maelfu ya watanzania hao walioandamana ilikuwa wapi?!!! Wale mliokuwa mnavunja, kuiba, kujeruhi, kupora na kuharibu miundombinu ya kutumia na jamii mzima?!!! Hivi mlikuwa mnafika hata laki moja?!!!!

Mnajua idadi ya tulikuwa tumetulia tu tunawachora?!!!! Nyambafu mkubwa we!
Ni rahisi sn ku deal na uvccm mana hamna akili, lini uliona watz wanaandamana kumtoa Rais madarakani? Lkn now wamefanya hivyo, hii sio ishara nzr, inamaanisha Rais aliyepo ni wahovyo kuliko hovyo yenyewe, lkn wajinga kama nyinyi bado mnaziba masikio na kujifanya wendaazimu.
 
Wajinga ni nyie TEC na chadema mliohamasiaha vurugu
 
Birthday ya Magu 29 Oct ilichafuliwa kwa wahuni kushambulia wananchi wasio na hatia kwa risasi za moto.

Justice is coming soon.
 
Hana utakatifu huo, huyu ndio chanzo cha bunge la hovyo la kijani tupu..!!

Sheria nyingi mbovu zilipitishwa kwake, uchawa na kuziba wananchi midomo.

Ni vile Samuya karuhusu utekaji uendelee toka kwa mtangulizi wake na mauaji Dec 29 ndio yamefanya chuki izidi kwake.

Nina uhakika naye angekuwepo tungekuwa na M7 wetu sasa hivi..!!

Tatizo watanzania tunajifanya wasahurifu ila hiko chuma kilikuwa ni chanzo cha haya yote.
OK, tuhamie kwenye kazi, jamaa alifanya kazi ipasavyo kama rais au hapana?
 
Ni mambo ya ajabu sana tatizo la watanzania wengi ni wasahaulifu na huu ndo mtaji wa ccm

Magufuli ni architect wa mambo mengi sana ya hovyo ambayo mpaka leo yapo yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri
Kama n hvy bc tuseme kwamba na JPM nae amerithi kutoka kwa JK, vp hapo?
 
Hakika tulimpoteza Raia March 2021,

Lakini Mungu anatuletea Mwingine aina ya Magu, na muhimu zaidi ni mwannademokrasia.
 
Back
Top Bottom