kenzeva mbatizaji
Member
- Jan 25, 2019
- 76
- 41
Wako sahihi majibu yanaludi kikubwa majina matatu yawe sahihi nanamba yasimu uliyoandikisha kule Nida kunawengine anaweka majina sahihi ila hakumbuki mojawapo yanamba zake zasimu niipi aliandikisha kule nidaNaona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
Mimi nilituma saa 4 asubuhi jibu wakaleta saa 9 usiku.Nilituma mara ya kwanza nikaona kimya, nikahisi mtandao umezengua baada ya dk kama tano nikatuma tena, nikasubiri kwa siku mbili hola.
.....Wameshakula 800 yangu
Nina kile cha ulozi tuu[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]Poleni ambao hamjapata vitambulisho.
Nina kile cha ulozi tuu[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Wataitaga anakwambia[emoji83][emoji84][emoji35][emoji84][emoji83]800 nyingine times 3 itapendeza.
Kama hiki tuHahahahaha lol! Picha please! Tukione cha urozi kinafananaje.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji85][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nashukuru. Hizi lugha si za mama zetu, hivyo nimejifunza pia.Mkuu, kwa ninavyoelewa, ukwasi ni hali ya kuwa na pesa za kutosha pengine na ziada.
Neno sahihi hapo lingekuwa ukata.
Ni maoni tu mkuu
Kumbe tumeliwa wengi mimi nilifikiri matatizo ya kimtandao kumbe janja yao
Pamoja sana mkuu.Nashukuru. Hizi lugha si za mama zetu, hivyo nimejifunza pia.
Mimi nilijibiwa muda huo huo kwa kutumiwa namba ya NIDA(kitambulisho)
Ni kwamba utajibiwa kwa kutumiwa namba ya kitambulisho kama kitambulisho chako kipo tayari
MmhMimi ni zaidi ya 2000 mpaka sasa