Nani kachukua crushers za temesa?

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Miaka mingi iliyopita wizara ujenzi ikishirikiana na wahisani walinunua crushers, mashine za kusaga kokoto, karibu kila mkoa zilikuwepo. Mnamo mwaka jana mwanzoni walitangaza kuwa zitakodishwa kwa watu binafsi waziendeshe huko mikoani, kibiashara.

Hata hivyo, kwa mshangao, mkuu wa idara hiyo bwana ndunguru kwa maagizo maalum toka ikulu, aliamuru mashine hizo zenye thamani kubwa sana kila mashine inaweza ku-cost around 700,000$
zigawiwe kwa watu walioko karibu kabisa na mkuu wa kaya, na zimefungwa huko pwani.

Kwa sasa mkoani mbeya ni mikoa mingine kusini, ujenzi wa barabara za lami unakwama kwa ni hamna kokoto, mfano barabara itokayo mbalizi kwenda utengule mkoani mbeya na zingine,

mwenye data amwage hapa wakati tunaendelea kuchambua jambo hili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom