Nani imewahi mkuta hivi?

Nani imewahi mkuta hivi?

Kwenye level ya kuachana na mpenzi wako wewe upo kwenye 'denial' unatamani ila nafsi yako inagoma . Kwa watu wa chemistry wanaweza kufananisha na Activated Complex, we are not so sure to expect for products as the truth is anything can happen
 
Subiri kidogo, mwenyewe utaweka tangazo la kuuza maziwa au ice-cream.
 
Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!
Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy.

Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on si kwamba nampenda yule bwana hapana maana amewai jaribu ntafuta majibu niliompa atakua alienda jiangalia kwenye kioo kama kweli n mwanaume na yale maneno yote n yake.....

Sijui n ganzi ya moyo sielewi!!! sijui ni psychological problem sijui???!! leo nilikua nachat na jamaa ambae I can say somehow nilimuelewa, but within me kuna kitu hua kinakataa kabisa Inapokuja kuanza relationship mpya
Nimemjibu simple tu "achana na mim akili angu naijua mwenyewe nsije kupa kichaa bure"

But si kwamba nina relationship, si kwamba I don't miss good moments... I just don't... just don't... with no reason mwanaume anaechukua namba angu ataishia kuangalia meme coz I love posting memes ata 20 per day. but when it comes to love jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi.
But nikikaa tena najiuliza for how long ntaishi ivi??!!

Aroo acheni tu am going through hell in mind and body and I've zero idea when will this end??!!naumia nyie acheni tu.
Wewe lazima tu utakuwa mwembamba...
 
Huezi muelewa huyu dada kama hujapitia hii hali btw tunatofautiana namna ya kuhandle maumivu so dont judge her.
Take your time girl don rush ukiwa ready kupenda penda polepole n ukuwe carefully

Mim nnahisi nnaelekea kuwa beast ole mtoto wa mtu ajiloge
 
Mazee, tumwambie ukweli huyu demu au tumwache tu!!
 
Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!
Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy.

Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on si kwamba nampenda yule bwana hapana maana amewai jaribu ntafuta majibu niliompa atakua alienda jiangalia kwenye kioo kama kweli n mwanaume na yale maneno yote n yake.....

Sijui n ganzi ya moyo sielewi!!! sijui ni psychological problem sijui???!! leo nilikua nachat na jamaa ambae I can say somehow nilimuelewa, but within me kuna kitu hua kinakataa kabisa Inapokuja kuanza relationship mpya
Nimemjibu simple tu "achana na mim akili angu naijua mwenyewe nsije kupa kichaa bure"

But si kwamba nina relationship, si kwamba I don't miss good moments... I just don't... just don't... with no reason mwanaume anaechukua namba angu ataishia kuangalia meme coz I love posting memes ata 20 per day. but when it comes to love jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi.
But nikikaa tena najiuliza for how long ntaishi ivi??!!

Aroo acheni tu am going through hell in mind and body and I've zero idea when will this end??!!naumia nyie acheni tu.
ushafanyiwa ukatunduze sio bure
 
Wewe ni aina ya mwanamke mwenye Ego sana
Wale mnaojiona cake sana kiasi kwamba hata ukiwa na mtu anajua umempendea kitu flani sio really love
Sasa akishajipakulia vya kutosha huyooo! anajiondoa anawaachia wengine waje wapambane.
 
Back
Top Bottom