Nani imewahi mkuta hivi?

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
32
141
Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!!
Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy.

Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on si kwamba nampenda yule bwana hapana maana amewai jaribu ntafuta majibu niliompa atakua alienda jiangalia kwenye kioo kama kweli n mwanaume na yale maneno yote n yake.....

Sijui n ganzi ya moyo sielewi!!! sijui ni psychological problem sijui???!! leo nilikua nachat na jamaa ambae I can say somehow nilimuelewa, but within me kuna kitu hua kinakataa kabisa Inapokuja kuanza relationship mpya
Nimemjibu simple tu "achana na mim akili angu naijua mwenyewe nsije kupa kichaa bure"

But si kwamba nina relationship, si kwamba I don't miss good moments... I just don't... just don't... with no reason mwanaume anaechukua namba angu ataishia kuangalia meme coz I love posting memes ata 20 per day. but when it comes to love jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi.
But nikikaa tena najiuliza for how long ntaishi ivi??!!

Aroo acheni tu am going through hell in mind and body and I've zero idea when will this end??!!naumia nyie acheni tu.
 
Pole sana

Apo ulipo umevaa Barakoa.??
 
Pole sana, ni matatizo tu ya kisaikolojia yanayowapata watu pindi wanapokosa attention hasa wakati wanaihitaji.........

And let me tell you something, watu wengi wenye tabia ya kuacha acha wenzao (huku wakiwaachia maumivu makubwa) huwa wanafanya hivyo maksudi, they find fun in it! they enjoy it!

Why?, kwa sababu wamewahi umizwa sana kiasi ile roho ya kupenda ikatoweka, sasa ili kuficha yale maumivu ndio wanaanza kuwa dorminating kwenye relation zinazofuata na kuumiza wenzao bila kujali hisia za muumizwa!

.............bahati yako hujafika huko, japo hizo dalili unazo judging kwa uandishi wako.......
 
Back
Top Bottom